Ifahamu mimea hatari zaidi inayotishia uhai wa binadamu

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Anonymous

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
515
Reaction score
143
Points
0
Baadhi ya watoto hawakujua kwamba maisha yao yalikuwa "hatarini" katika mji wa Suffolk nchini Uingereza kutokana na kuwepo kwa 'hemlock' kwenye njia yao ya kawaida ya kwenda shuleni, mmea wenye sumu ambao unaweza kumuua mtu ikiwa ataumeza.
Hata hivyo, hemlock sio mmea pekee unaohatarisha maisha ya binadamu.
Siku za hemlock zimehesabiwa katika eneo la Bucklesham baada ya mkuu wa baraza la parokia, David Brinkley, kuripoti kwa Baraza la Kaunti ya Suffolk Juni mwaka jana, na mamlaka iliahidi kufunga barabara na kuondoa mmea huo hatari.
Katika mawasiliano yake, Brinkley alisema kuchelewa kuondoa mmea huo "kunahatarisha maisha ya watoto.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Rachel Rudge, pia alionyesha wasiwasi kama huo.
"Siyo salama kutembea barabarani kwa sababu ya kuwepo kwa mmea huu wa hemlock," anasema. "Ni ngumu sana na si salama kuwa huko."
Hata hivyo, Profesa Ian Parr, wa Chuo Kikuu cha East Anglia, anasema kuondoa hemlock hakuondoi tatizo hilo, ikizingatiwa kwamba kuna mimea zaidi ya 28,000 iliyoenea kote Uingereza.
Barr, profesa wa ikolojia ya shamba, aliiambia BBC kuhusu mimea mingine hatari inayoonekana wazi, na kwa nini baadhi yao ni tishio kwa binadamu.

Mimea Mingine Hatari ni

1.hercules​

1689189208047.png

2.Foxglove​

1689189230620.png

3."Sitt El Hassan" au "killer eggplant"​

1689189252522.png
4.Water hemlock
1689189270864.png
 

Katkit

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 8, 2023
Messages
693
Reaction score
2,144
Points
93
nikajua utasema na mmea wa bangi pia ni hatari kwa binadamu, ningefuta ID yangu humu.
 

Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Duuh asee. Mbona imekaa familiar sana to my eyes. 🤔

Nishawshi iona chuga mbona
 

Similar threads

  • Question Question
kuna dawa ilikua maarufu sana kipindi niko primar.. Dawa yenyewe niile mabraza walikua wanapaka mkononi alafu wanamfata mdada wanae mtaka wanamshika paaaap! baada ya hapo uyo dada anamfata msela mpaka geto(sio mkongo) Hivi hiyo dawa mpaka leo ipo? 🤓🤔 Niko palee nasubiri majibu yenu, it's urgent...😀
Replies
12
Views
375
Kwa mtu anayejua mpira,ndo ataelewa ninachosema, kibabage anaspeed, azizi k anaspeed, skudu anaspeed, msonda na mzize wana aspeed yani kuna timu zitapigwa goli nyingi. Yanga inayokuja itakuwa ya speed sana makabi naye anaspeed aisee
Replies
11
Views
173
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa kutosikia matibabu ni tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STDs) au (maambukizi ya zinaa) na ni kikwazo kikubwa katika kudhibiti magonjwa ya zinaa, WHO ilisema...
Replies
10
Views
254
Kazi ya kuendesha baiskeli za kubeba abiria pamoja na baiskeli zinazopatikana kwenye vituo vya mazoezi (gym) vimebainika kuwa chanzo cha kupunguza uwezo wa wanaume wanaposhiriki tendo la ndoa. Hayo yamebainika kupitia utafiti uliofanywa hivi karibuni na jopo la wataalam wa afya ya uzazi...
Replies
9
Views
116

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom