- Jun 5, 2023
- 26
- 57
- 0
Michezo kama kombolela, kidali po, kibaba baba nk hukucheza? Vipi mpira wa miguu?Mimi utotoni nilikua nafungiwa saaana ndani. Naona madhara yake sasahv
tupo wengi, tv imenilea kabisaMimi utotoni nilikua nafungiwa saaana ndani. Naona madhara yake sasahv
Sikuwai cheza mkuuMichezo kama kombolela, kidali po, kibaba baba nk hukucheza? Vipi mpira wa miguu?
HahaShida sanaa..
Alafu nkajua KijijiForums ndio wewe..
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.