Je ulishawahi kucheza dubu??

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
hqdefault.jpg
Linaitwa dubu.
Ukiwa mtaalamu wakulicheza wanakuita dubu master.🤣🤣🤣🤣
Hìi kitu sijawahi kucheza hata kuligusa,huwa nikiwa maeneo ya bata naonaga watu wakilicheza tu,sijui unachagua wanyama then unaweka pesa,wachina waizi sana,sisi wa tanzania tunadharau vipesa vidogo ila wenzetu wanaokota hizo sarafu na kufanya maendeleo kwao.
Kumekuwa na utaratibu kwa wamama kucheza hili dubu, pesa zote zakodi ya meza zinaishia kwa mchina.ndoa nyingi zimevunjika kwa dubu.
Je wewe inalizungimziaje dubu??
 
Mara ya mwisho nimelicheza hilo dubwasha mwaka 2015 December siku ya Ijumaa nikiwa nimevaa kanzu, nililiwa 40k kama nimesimama nikaapa siligusi tena, alhamdulillah nimefanikiwa kutoka kwenye huo ufala.
 
A
View attachment 1039
Linaitwa dubu.
Ukiwa mtaalamu wakulicheza wanakuita dubu master.🤣🤣🤣🤣
Hìi kitu sijawahi kucheza hata kuligusa,huwa nikiwa maeneo ya bata naonaga watu wakilicheza tu,sijui unachagua wanyama then unaweka pesa,wachina waizi sana,sisi wa tanzania tunadharau vipesa vidogo ila wenzetu wanaokota hizo sarafu na kufanya maendeleo kwao.
Kumekuwa na utaratibu kwa wamama kucheza hili dubu, pesa zote zakodi ya meza zinaishia kwa mchina.ndoa nyingi zimevunjika kwa dubu.
Je wewe inalizungimziaje dubu??
Asante serikali kwa kuona hii kadhia iliyojaa mtaani,maana kila kona kuna dubu asnte sana kwa kupinga haya madubu🙏🙏🙏
 
Hii kitu mkiwa watano nkishirikiana mnatoboa
 
Similar threads

Replies
8
Views
479
Back
Top