Je umeshare link ya kijiji forum kwenye site ngapi mpaka sasa??

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Habari za mdaa huu
sasa toka week 2 zilizopita nimekuwa na share link ya kijiji forum sehemu mbalimbali zilipo accounts zangu poa Id yangu.
Ndo maana nimepigwa banned huko jamii .
Unajua ili kijiji iwe imechangamka yatupasa sisi member wote tuitangaze kijiji forum kila kona.
Kwa mfano kama kila siku wote kila mmoja tukishare link 10 ya kijiji forum kila site nadhani tutakuwa na member wengi sana.
Ingia inbox za watu tuma link

Kauli mbiu yetu iwe tuma link ..
 

Similar threads

Wanakijiji leo nasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu.. NASHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya Leo... Lakini pia SIO kinyonge! Siku hii nasherehekea pamoja na mastaa wakubwa duniani Kule HOLYWOOD yupo WILLY SMITH na hapa TZ, Yupo MCH. DR. ELIONA KIMARO... basi napokea zawadi kwa...
Replies
8
Views
389
We started Kijiji with a purpose to build stronger and more homelike environment. All who care about making Kijiji more thriving, vibrant, and interesting are welcome. We hope to gather people of many ages and perspectives, including those connected to business, governments, community groups...
Replies
27
Views
863
Kijiji Notes Management System ni mfumo wa kutunza notes zako kidigidali, utacreate account and then start writing your notes Hata simu yako ikipotea Basi unajua mahali pa kupata notes zako, mfumo huu ni bure Bado nipo KWENYE stage za mwisho za development nafikiri kesho au kesho kutwa...
Replies
5
Views
417
Huyu guest kanifurahisha sana aisee
Replies
61
Views
2K

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom