Nikiamka now napumzika kidogoOK anza mafunzo
SawaNikiamka now napumzika kidogo
napumzika kidogo
<%php
#Codes Huandikwa hapa
%>
<%php
#Comment ya mstari mmoja
Hii haitahesabika kama comment na italeta error
//Comment ya mstari mmoja
Hii haitahesabika kama comment na italeta error
%>
<%php
/*Multiple
Multiple
Multiple
Mstari mwingine
Mwingine
Mwingine
Na Mwingine
*/
Hii sio comment sababu ipo nje ya comment na italeta errors
%>
<%php
echo "KijijiForums";
echo("KijijiForums");
%>
<%php
print "KijijiForums";
print("KijijiForums");
%>
TayariAmka basi mkuu
Elimu yangu uchwaraWewe umesoma nini
Nilikuwa nataka nianzishe tutorial za kiswahili YouTube za procedure php na object oriented php na MySQL kidogoHumu siwezi kuelewa kitu yanipite tu
lengo ni kupiga hela au unafanya kama hobby tuNilikuwa nataka nianzishe tutorial za kiswahili YouTube za procedure php na object oriented php na MySQL kidogo
Mnaonaje wakuu Gily mshamba_mkuu The great manenge
Kama hobby tu ili kuwarahisishia watu kuelewa kwa lugha ya kiswahili (nitaeleza in deep na nitakuwa na vipande vipande chini ya 30 min labda kwa projects na small exercise ndogondogolengo ni kupiga hela au unafanya kama hobby tu
hapo sawa, kama ni hela hupati ng'oKama hobby tu ili kuwarahisishia watu kuelewa kwa lugha ya kiswahili (nitaeleza in deep na nitakuwa na vipande vipande chini ya 30 min labda kwa projects na small exercise ndogondogo
Kwanini?hapo sawa, kama ni hela hupati ng'o
oya una mawazo ya kimasikinihapo sawa, kama ni hela hupati ng'o
dogo anakula mihogo na kachumbari zilizolalaKwanini?
Nawewe unaushauri gani?dogo anakula mihogo na kachumbari zilizolala
Ushauri wangu weka tutorial kwa sababu nataka kujifunza zaidi siko vizuri Kivile kwenye codingNawewe unaushauri gani?
Kwanini?
huwezi kupata views za kukuingizia hela kupitia tutorials aisee... haina soko kabisa bongo, fanya kama hobby itakua kama una practice, utaongeza ujuzioya una mawazo ya kimasikini
Ningekuwa Sina ujuzi nisinge fanya Ila Kuna wengi wanatamani kujifunza Ila hawaelewiiiii kuanzia week ijayo nitaaanza kurekodi video nitatafuta programu nzuri kwa kurekodi na sura yangu itaonekana KWENYE KILA video, pia nitatengeneza playlist ili kutofautisha na utakuwa easy way to learn everhuwezi kupata views za kukuingizia hela kupitia tutorials aisee... haina soko kabisa bongo, fanya kama hobby itakua kama una practice, utaongeza ujuzi
Usijalii mzee happy ujipo unajua haha html?Ushauri wangu weka tutorial kwa sababu nataka kujifunza zaidi siko vizuri Kivile kwenye coding
sio lazima uweke sura, wewe screen record tu, kuna software inaitwa OBS studio, itakusaidia.... audio sijui utarecord vipi, nunua usb mic kama utawezaNingekuwa Sina ujuzi nisinge fanya Ila Kuna wengi wanatamani kujifunza Ila hawaelewiiiii kuanzia week ijayo nitaaanza kurekodi video nitatafuta programu nzuri kwa kurekodi na sura yangu itaonekana KWENYE KILA video, pia nitatengeneza playlist ili kutofautisha na utakuwa easy way to learn ever
anza nayo tu kibishi bishi ila utagundua sio nzuriKwani pc si ina mic au?
Tukutane YouTubeanza nayo tu kibishi bishi ila utagundua sio nzuri
Ndio tunakuja kama hiviDue to muamko mdogo nasitisha mpaka pale nitakapo pata muhamko
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.