Kizazi kinachokuja kitakuwa kizazi cho ovyo sana...

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Natumaini wote wazima...

@imeandikwa na the-great-manenge..

Tanzania ilipata uhuru 9 disemba 1961Ni miaka mingi sana imepita,tumeshuhudia taifa letu limepitia hatua mbalimbali za ukuaji wake,baba aliniambia miaka ya 70 mpaka 80s vijana walikuwa wanatabia nzuri sana,mtoto alikuwa sio wakwako pekee yako alikuwa ni mtoto wa tanzania kwahiyo kama alifanya kosa mtu yeyote mnzima alimuadhibu na mzazi wake hakumaind wala nini.
Mtu mnzima alimuheshimu mtoto na pia mtoto alimuheshimu mtu mnzima,kulikuwa na mstaarabu wa hali ya juu watu walimuogopa MUNGU na waliheshimiana sana.
Kweli maisha yalikuwa ya amani na manzuri..


Katika utafutaji wangu wa maisha nimezunguka mikoa mbalimbali tanzania kwa unri nilionao nimezunguka tanzania sana japo nina umri mdogo tu,na kote huko nilipopita nimejifunza mambo mengi sana kuhusu watu na maisha.
Nilikaa morogoro maeneo ya kilombero miaka ya 2013 kule nilikaa kwa miaka 2 na nilijifunza vingi sana na haya ni baadhi ya mambo niliyojifunza.
Vijana wa kule wanaiga mambo kutoka dar,umalaya uliokithiri kwa vibinti vya shule ni hatari mnoo,watoto wa kike wa miaka ya 15 mpaka 17 wana watoto na mabinti wanaolewa wadogo sana.
Kipindi cha mavuno au kuchezwa ngoma ni hatarii,na wakishachezwa ngoma wanafanya practise walichofundisha na makungwi wao,vibinti vya kule ukivipa tu dera kila siku kitakuvulia chupi hata hakiwazi.
Kule watu hawaingii guests wana malizana kwenye mashamba ya miwa.

Kwangu mimi niliona mambo ya ajabu sana kwakuwa nimetokea arusha na arusha hakuna upuuzi kama huo,mtu kutembea na ndugu yake ambaye sio wa tumbo moja ni jambo la kawaida sana,ndo maana ukiwacheki waruguru vimo vinalingana uzao hauna Mzunguko kutoka makabila mengine,wanaubaguzi sana..

Pia nimeishi dar maeneo ya mabibo aisee kule ni nomaa kama kuna mtu anapajua manzese,mabibo mburahati kama kuna sehemu tanzania shetani yupo sana ni MABIBO DAR ES SALAAM kule ni uswazi haswa,vingoma ni vingi sana kila dakika kingoma kinapita,siku ya kupima mabondia utafurahi na roho yako,wanamabondia wao wakina ufaume na pac man,kila kijana mabibo mbabe,asubuhi tu kijana kalewa kule ni utawala wa kambale kila mtu ana ndevu😂😂😂 hajulikani mtoto nani na baba nani ,mtoto kumtukana mama yake jambo la kawaida mno,kama unataka kuona mashoga wamejazana mabibo,wanawake wanasagana.

Niliishi maeneo ya makutano mabibo kwa miaka 3 na nina experience kubwa mno..
Kwanza:....
@vitoto kule vinavuta bangi
@wanawake wanaliwa kwa 500 au kijora
@mabibo hakuna future ya maisha
@vingoma ndo maisha ya mabibo

Nasikitika sana kuona taifa linalokuja tanzania,litakuwa taifa kama sodoma na gomora yatupasa kumuomba MUNGU sana kuhusu tanzania yetu.

Imekuwa ni ngumu sana kulea watoto kwenye hili taifa,miaka hii ya sasa kulea mtoto wa kiume inahitaji nguvu ya ziada tena tumtangulize Mungu vitoto vya kiume vinalawitiwa.
Kipindi tutakuwa hakukua na michezo ya kijinga haswa kwa sisi watoto,michezo tu ilitujenga kuwa ngaringari tena wakakamavu,watoto wa sasa hivi hawwachenzi.
@madoba ngumi
@pinga bomoa
@kombolela
Haya tuangalie michezo ya watoto sasa.
@games
Vitoto vya sasa hivi vilaini sana.

.......taifa linalokuja litakuwa la ovyo.....
Niko pale👉 nimekaa
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Hapo zamani kulikuwa na Savages baadae tukapata Civilizations. Mporomoko wa maadili unaletwa na nini? Je havikuwepo hapo kabla watu kulala na ndugu zao? naona mengi yapo toka wakati huo sema sasa yamepata kujulikana kwa sababu ya dunia kuwa ya kidigitali
 

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Hapo zamani kulikuwa na Savages baadae tukapata Civilizations. Mporomoko wa maadili unaletwa na nini? Je havikuwepo hapo kabla watu kulala na ndugu zao? naona mengi yapo toka wakati huo sema sasa yamepata kujulikana kwa sababu ya dunia kuwa ya kidigitali
Shetani now yupo kazini kweli kweli
 

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom