Kuoa au kuolewa na mwasirika wa UKIMWI

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Niaje!
Kwanza nianze kwakusema siwabagui watu wenye vvu, kila mtu anaweza kuoa au kuolewa kama aki bahatika kupata mwenza.
1 kwa 1 kwenye mada 👇

Je unaweza kuoa au kuolewa na mtu aliye na VVU?

Kumekua na ongezeko la ndoa za mtu mmoja akiwa HIV+ na mwingine HIV-

Hii inatokana na elimu inayo endelewa kutolewa juu ya VVU, pia maendeleo ya teknolojia.
Swali langu ni hili je ikatokea umempenda mtu na akakueleza yeye ni HIV+ utaendelea na mahusiano? Utamuoa? Utaolewa nae?

karibu!
 

Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
Inawezekana kuishi naye bila kuupata .

Mimi naweza na niko tayari ingetokea those days .

Dr Santos , unaamini UKIMWI upo ? Je kuna tafti yoyote umejaribu kuifanya ukaugundua ukweli ?

Karibu CTC kuna jambo la siri utajifunza daktari nimeyajua sasa siogopi ni mwendo wa nazama natoa , nazama natoa 😀
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Inawezekana kuishi naye bila kuupata .

Mimi naweza na niko tayari ingetokea those days .

Dr Santos , unaamini UKIMWI upo ? Je kuna tafti yoyote umejaribu kuifanya ukaugundua ukweli ?

Karibu CTC kuna jambo la siri utajifunza daktari nimeyajua sasa siogopi ni mwendo wa nazama natoa , nazama natoa 😀
So far kuna madaktari wenzako naowajua wawili. Ngoja niwaite waje wajibu swali

Dr Kong
Dr santos
 

Similar threads

1. Usioe kwasababu huyo mwenzi wako mmekutana katika biashara zinazofanana.. kwahiyo ukahisi kwamba kwakuwa biashara anayoifanya na wewe unaifanya basi mtakuwa na Ndoa nzuri! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya biashara 2. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mpenzi wako mnasoma KOZI sawa kwahiyo ukahisi...
Replies
13
Views
499

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom