- Jul 3, 2023
- 1,897
- 3,986
- 113
Moja kwa zote kwenye mada
1. Unakuta kwenye familia kuna vitu maalumu(vizuri) kama saani au vikombe, ambavo hivi ni kwa ajili ya wageni na vina kaa kabatini.. uruhusiwi muvigusa utapigwa uuwawe...
Tabia hii ni mbaya maana unawajengea watoto wako, kujiona duni... Pesa unatafta kwa ajili ya watoto wako acha wa enjoy...
2. Nguo na chakula. sio vizuri watoto(familia) kula au kuvaa vizuri kwa msimu wa sikukuu tu..(Chrismass, new year), hii inapelekea watoto kujidharau na kudanganyika na vitu vidogo pale wanapokua mbali na wazazi. mfano kuongwa chips, sim n.k
3.Kunyimwa kucheza na wenzake (muda wote ndani) hii ni mbaya jamani, mtoto anakosa kabsa ujasiri wa kujieleza, au kutoa hoja anapokuja kuwa kijana...
5. Kunyima/kuzuia mtoto kueleza hisia zake, kuchoka, furaha, matamanio,.. kutotaka mtoto kutochangia jambo lolote katika familia ni kumdumaza akili asiwe na ugunduzi... kuna watoto wamefanyiwa ukatili lakini wanaogopa kusema..
Karibu utoe mchango wako ili tuwe na familia na taifa bora...