- Jun 26, 2023
- 636
- 1,321
- 0
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana 2022.
Jumla ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani ni 106, 883 huku wasichana wakiwa ni 47, 340 na wavulana 59, 543.
Jumla ya watahiniwa 104,549 sawa na asilimia 99.23 ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2023 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 46,707 sawa na 99.51% huku kwa upande wa wavulana, waliofaulu ni 57, 843 sawa na 99%.
Mwaka 2022 waliofaulu walikuwa 93,136 sawa na 98.97% hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.26% ikilinganishwa na mwaka 2023.
Link matokeo bonyeza hapa

Last edited by a moderator: