Mfanyabiashara, Rostam Aziz amekiangukia Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), akiomba radhi kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya Mahakama

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Anonymous

New member
Jun 4, 2023
515
143
0
Rostam aomba radhi majaji
Jumanne, Julai 04, 2023

Mfanyabiashara, Rostam Aziz
By Juma Issihaka
Muktasari:
Mfanyabiashara, Rostam Aziz amekiangukia Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), akiomba radhi kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya Mahakama nchini.

Dar es Salaam. Mfanyabiashara, Rostam Aziz amekiangukia Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), akiomba radhi kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya Mahakama nchini.

Rostam ameomba radhi saa chache baada ya JMAT kutoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari, kikimtaka mfanyabiashara huyo athibitishe tuhuma alizotoa dhidi ya Mahakama au aombe radhi hadharani.

Rostam, Juni 26, mwaka huu mbele ya waandishi wa habari alisema, "Hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.”
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,020
22,618
113

dah huyu jamaa anajikuta yuko juu ya sheria
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,020
22,618
113
😂😂😂 Nchi haiwezi uzwa
Sasa kama unawapa watu wamiliki nchi yako mkataba ambao wewe huwezi wafukuza wala huwezi uvunja kwa namna yeyote hapo unaonaje?

Una uhakika wao wataendesha bandari kwa ufanisi? kama wewe ulivyoshindwa nao wakashindwa huwezi wafukuza. Kwa nini?
 
Similar threads

Mimi somo la ujasiriamli sio mzuri ila leo tujadili kuhusu hivi vitu viwili Ujasiriamali na Biashara Ujasiriamali ni nini? Biashara ni nini? Vinatofautiamaje? Utajuaje huyu ni mjasiriamli na yule ni mfanyabiashara Kipi bora zaidi Kipi kinafaida kwa wengi? Stay tuned i will be back soon.
Replies
6
Views
328
Top Bottom