Mke wangu ananichukia, ataki hata kuniona.

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Wakuu ni uwakika?
Mimi niko gud Mungu ni mwema.
Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri..
Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia mwezi huu uanze mke amebadilika ataki kumuona jamaa, yani imefikia hatua anapigiwa simu na mke wake anaambiwa asiwai kurudi nyumbani yaani achelewe akute mkewe kalala.
Akiwai mke aongei nae yaani nikama ameona mjusi...

Sasa jamaa anashindwa kuelewa ni kawaida au anaigiziwa maana mwanzo hakua hivi iweje abadilike dakika za mwisho..

Mchango wenu ni wamuhimu, karibuni
 
Inawezekama mimba inamfanya awe hivyo. Mda mwingine inatokea wanawake wajawazito wanakuwa wakali au hawataki uwe karibu nae
Wakuu ni uwakika?
Mimi niko gud Mungu ni mwema.
Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri..
Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia mwezi huu uanze mke amebadilika ataki kumuona jamaa, yani imefikia hatua anapigiwa simu na mke wake anaambiwa asiwai kurudi nyumbani yaani achelewe akute mkewe kalala.
Akiwai mke aongei nae yaani nikama ameona mjusi...

Sasa jamaa anashindwa kuelewa ni kawaida au anaigiziwa maana mwanzo hakua hivi iweje abadilike dakika za mwisho..

Mchango wenu ni wamuhimu, karibuni
 
Wakati mke wangu mjamzito na mtoto wangu wa kike alipemda sana kuwa karibu

Mtoto wa kiume hakuna anapenda tuwe karibu kabisa
Basi naweza kuamini maana mama wakati ana ujauzito wa mdogo wangu wa kike alikua ananichukia hatari😃😃😃
 
Similar threads

Mke Mtarajiwa huna haja ya kuhangaika na mabuzi nimetoboa sasa mimi ni raisi wa Kijiji. Mke wangu mtarajiwa, najua uko sehemu salama ni kuvuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndndanninayo machache ya kukueleza.. 1. My future wife, Jiandae kuwa mother material...
Replies
13
Views
375
Habari wanakijiji . Ukweli usiopingika kwangu ni kuwa mwanaume rijali kukosa mchepuko inawezekana ila inahitaji nguvu kubwa ya Mungu mwenyewe . Hapo zamani nikiwa mlevi sana nilipenda sana vidada vidogo vidogo ili niyasukume maisha yangu katika raha na mustarehe ukizingatia mke wangu ni mtu...
Replies
36
Views
548
Mmeamkaje Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua. Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo. Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
Replies
23
Views
698
  • Question Question
Mambo zenu wadau humu ndani Kuna mwanamke nimekua nae kwenye mahusiano mwezi wa saba sasa. Naomba mnisaidie jinsi ya kiachana nae maana nmejaribu nimeshindwa
Replies
7
Views
227
Mambo mchumba wangu Natafuta mchumba hapo baadae awe mke wangu. Kwanza ningependa tufahamiane kabla hatujafikia maswala ya ndoa. Sifa zangu Umri: Nina miaka 25 Elimu: Chuo (undergraduate) Dini: Mkristo (japo siendi kanisani) Urefu: 170cm Rangi: Mweupe Kazi: Natafuta kazi (nina kazi ndogo...
Replies
23
Views
300
Back
Top