Mke wangu mtarajiwa - Jokes

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Mke Mtarajiwa huna haja ya kuhangaika na mabuzi nimetoboa sasa mimi ni raisi wa Kijiji. Mke wangu mtarajiwa, najua uko sehemu salama ni kuvuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndndanninayo machache ya kukueleza..

1. My future wife, Jiandae kuwa mother material wala sio material mother. Don't panic I will explain what I mean "Mke wangu mpendwa mmeo, ntakuwa father wala sio daddy kwa watoto wetu, usishangae nitawalea watoto wetu katika malezi ya tamaduni za kiafrika zaidi, hivyo kwa hilo ntakuwa conservative. Ningependa kukuona ukiwa mother wala sio mom ukawalea watoto kwa tamaduni za kigeni"

2. My future wife, nitakuoa kutokana na uzuri wa asili uliojaaliwa na Mungu, hivyo bhasi usitarajie kupata wasaa wa kujipachika kope na kucha za bandia wala mawigi (nywele za marehemu).

3. My future wife, huko uliko ni vyema ukaanza kujifunza kuendesha biashara na kusimamia, mmeo siamini katika kuajiriwa Bali kujiajiri. Ujifinze pia kutoa hotuba kwa wanakijiji na kuhudhuria mialiko mbali mbali.

4. My future wife Siku tutakayokula kiapo
kanisani, tutafanywa kuwa mwili mmoja, hivyo bhasi nisingependa tuje kutenganishwa na password kwenye simu zetu (no passwords).

5. My future wife, madhehebu yote hukiri kuwa MUNGU ni mmoja tu, hivyo bhasi nisingependa kukushuhudia ukihama madhehebu mbalimbali kutafuta ukombozi kwa MUNGU yuleyule.

MY FUTURE WIFE, msalimie sana huyo
mnayevuta nae muda kwa kwenda $amaki
$amaki, Nyama Choma na Fiesta, mimi nitakupeleka kanisani na kukuweka ndani.
 

Similar threads

Wakuu ni uwakika? Mimi niko gud Mungu ni mwema. Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri.. Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia...
Replies
12
Views
318
Habari wanakijiji . Ukweli usiopingika kwangu ni kuwa mwanaume rijali kukosa mchepuko inawezekana ila inahitaji nguvu kubwa ya Mungu mwenyewe . Hapo zamani nikiwa mlevi sana nilipenda sana vidada vidogo vidogo ili niyasukume maisha yangu katika raha na mustarehe ukizingatia mke wangu ni mtu...
Replies
36
Views
548
Mmeamkaje Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua. Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo. Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
Replies
23
Views
699
  • Question Question
Mambo zenu wadau humu ndani Kuna mwanamke nimekua nae kwenye mahusiano mwezi wa saba sasa. Naomba mnisaidie jinsi ya kiachana nae maana nmejaribu nimeshindwa
Replies
7
Views
228
Mambo mchumba wangu Natafuta mchumba hapo baadae awe mke wangu. Kwanza ningependa tufahamiane kabla hatujafikia maswala ya ndoa. Sifa zangu Umri: Nina miaka 25 Elimu: Chuo (undergraduate) Dini: Mkristo (japo siendi kanisani) Urefu: 170cm Rangi: Mweupe Kazi: Natafuta kazi (nina kazi ndogo...
Replies
23
Views
300

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom