Mtaani kwenu bei zikoje?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Kipindi niko Moshi Kilimamjaro nilishangaa sana kukuta madukani hawauzi mkate nusu, kwanza muuza duka alinishangaa naulizia mkate nusu ikabidi ni nunue mkate mzimaa😅.

Leo nimepeleka zangu oda ya kuku, nikakutana na mtoto ametumwa sukari ya mia tatu, analia barabara nzima asaidiwe maana ameimwaga bahati mbaya hawezi rudi nyumbani atachapwa.

Nikajiuliza hii sukari ya mia tatu ikoje? au ni ile sukari guru? ndio wakaniambia ni sukari ya kawaida inauzwa vijiko viwili mia. Nilishangaa sana, ilibidi nimpe yule dogo jero maana bodaboda walikua wanamcheka hawa msaidii

Sikutegemea kama kuna mitaa inaweza uza sukari kwa kijiko ndio mara ya kwanza duniani nimelijua hili, ila yote kwa yote maisha yanasonga.

Mtaa unaokaa wanauza sukari kwa kijiko?, au wenzangu mnakaa udhuuunguni?😬
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mkiambiwa na wanadamu wezenu haifai kula mnakubali biblia ikisema mnaona inazingua
Sio nguruwe tu hata sungura na nina sungura wangu nataka niwauze.
Iko hivi watu wanaweza wakawa hawali nguruwe ila wanafanya haram nyingi, hoyo ni sawa?
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ungempiga hata kidumu cha lita moja😂😂😂😂
Kuna siku niko Rombo huko nikaombwa na dogo mmoja nimnunulie pombe. Nikakataa nikamwambia hapo ulipo unaonekana umekunywa ndii sasa nanunua mafuta yapeleke nyumbani kwa mama yako, usimwambie nimenunua mimi sema umenunua wewe akubariki. Aligoma kata kata

Ukiwa unaishi kwako jifunze kununua vitu jumla inasaidia sana. Sasa ukinunua kidogo kidogo inafelisha. Sabuni nikinunua kidogo kidogo natumia elfu 60 ila nikinunua kimfuko elfu 32500/-. You know if you have children unafua sana. Hususani mtoto wangu wa kiume nakua mkali akivalishwa pampers nataka anilietee wajukuu
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
7Every prohibition ni ya kuacha na ikitokea umefanya kuna mlango wa toba , na toba ni kunuia kuacha kbisa
Usifanye kwa sababu unajua kiwa kuna mlango wa tobacco. Hivyo ni kosa kubwa. Mfano unajua hii mbaya unafanya ukijuq baadae unaomna msamaha yanapita
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mimi huwa napenda kuichemsha kwanza ndio nakaaanga makula na ugali aisee hii kitu tamu
Ndio nikakueleza wako wanaochoma kitomoto unakuta haiivi vizuri ndani

Wako wanaochemsha na kukaanga mda mrefu wanakosa virotubisho vya msingi.

aha ha unakaanga mwenyewe? ukinunua kama hawajapila vizuri?
 

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Usifanye kwa sababu unajua kiwa kuna mlango wa tobacco. Hivyo ni kosa kubwa. Mfano unajua hii mbaya unafanya ukijuq baadae unaomna msamaha yanapita
Ukiteleza ndio maana yangu na its nature hakuna mtakatifu
 

Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
ukienda kusalimia Rombo Kilimanjaro kama hujaenda na mkate unadharaulika sana
Ukienda na mkate wanakuheshimu sana. Wachaga wanathamini sana mikate
Hii naona sehemu nying sana , watu wa mbeya hasa wamalila , wasafwa na wandali ukiaga unaenda mjini basi wao wanajua ukirejea mkate ni miongoni mwa zawadi utakazobeba
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Hii naona sehemu nying sana , watu wa mbeya hasa wamalila , wasafwa na wandali ukiaga unaenda mjini basi wao wanajua ukirejea mkate ni miongoni mwa zawadi utakazobeba
Kumbe iko hivyo?
Kuna mtu nilimpa zawadi ya mchele. Akaniuliza mkate uko wapi? nilichukulia dharau sikujua wanapenda mikate kuliko chochote. Ukiwapa na blue band wanakuona kama malaika
 

Similar threads

How are you my fellow villagers.. Nmeona niwaletee mkasa mfupi wa kijana mmoja wa hapa mtaani kwetu yeye anaitwa FOGO... Fogo ndio jina alilopewa na wazazi wake, ukimcheki utazani watu wanamkejeli kutokana na kwamba jina na muonekano wa jamaa(ni usiku na mchana) yaani haviendani.. Uyu mwamba...
Replies
10
Views
213
Samaleko... Binafsi natumia Dolby perfume na Amara deodorant kwa sababu zinanukia vizuri na pia ni very affordable kwa majobless kama mimi. Wewe unatumia ipi? Share with us!
Replies
36
Views
700

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom