Mtaani kwenu bei zikoje?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

ReTHMI

Member
Joined
Jul 9, 2023
Messages
30
Reaction score
86
Points
18
ukienda kusalimia Rombo Kilimanjaro kama hujaenda na mkate unadharaulika sana
Ukienda na mkate wanakuheshimu sana. Wachaga wanathamini sana mikate
Ila kwa saivi hii imepungua asee, kutokana na mikate inapatikana kirahisi. Kipindi cha nyuma mkate unanunua njia panda mbele ya hapo hupati ndio maana ilikua hivyo.
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ila kwa saivi hii imepungua asee, kutokana na mikate inapatikana kirahisi. Kipindi cha nyuma mkate unanunua njia panda mbele ya hapo hupati ndio maana ilikua hivyo.
Haha sasa ukiwa unaend Rombo unakuta wanauza kwa fujo wanajua huko mikate kupatikana no shida ila moshi inapatikana kirahisi
 

Similar threads

How are you my fellow villagers.. Nmeona niwaletee mkasa mfupi wa kijana mmoja wa hapa mtaani kwetu yeye anaitwa FOGO... Fogo ndio jina alilopewa na wazazi wake, ukimcheki utazani watu wanamkejeli kutokana na kwamba jina na muonekano wa jamaa(ni usiku na mchana) yaani haviendani.. Uyu mwamba...
Replies
10
Views
213
Samaleko... Binafsi natumia Dolby perfume na Amara deodorant kwa sababu zinanukia vizuri na pia ni very affordable kwa majobless kama mimi. Wewe unatumia ipi? Share with us!
Replies
36
Views
700

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom