NAHITAJI WAHUDUMU MABINTI WAREMBO WATATU(3) WENYE UZOEFU WA UTENGENEZAJI WA FRESH JUICE AINA ZOTE.

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
E6267C4B-1466-4A8E-B00D-3EE91700B812.pngHabari Wanakijiji...

Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.

Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.

Malipo ya kazi nalipa kwa siku(POSHO) kulingana na mauzo ya siku yanavyopatikana na kiwango cha malipo hutegemea na order zilizouzwa na huyo mhudumu, Bar inatoa huduma mbalimbali za vyakula aina zote kama mbuzi Choma, Kuku Choma, Samaki Choma, Wali, Ugali na Mchemosho aina zote una pata, Pia ndani ya Bar tunatoa huduma ya ukumbi kwa ajili ya sherehe mbalimbali kama KITCHEN PARTY, SEND OFF, WEDDINGS pamoja na shughuli nyinginezo nyingi.

Kwa aliyetayari na mwenye uhitaji karibu PM kwa mazungumzo zaidi na kupata mawasiliano ya moja kwa moja na Manager wa hapo BARACUDA BAR & LOUNGE.

Ahsanteni na Karibuni sana...
C04F1D99-6FB8-46AB-908A-2D0FE6D2E11F.pngE37F39AA-F877-40DB-A2E2-9C2D130798AE.png455DAEA7-1746-4B5F-AF74-CD17034F6A2E.png7EAC488C-0200-400C-B3B0-6A5F9C983EA9.pngD14B676D-A4C3-4B9A-A9AB-31C39352D064.png
 

Similar threads

habari viongozi nasubiri jibu wapi nidownload hili game wanipe na key yake kabisa
Replies
38
Views
736
  • Locked
Wana kijiji kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu hana kazi anicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi wawe wanaishi Dar Vijana kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa training kuhusiana na kazi husika. Pia nahitaji vijana walipo Tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao...
Replies
15
Views
419

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top