AlmightyGod
New member
- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 464
- Reaction score
- 1,335
- Points
- 0
Mamammamamaaa maa yangu weeew maweeee! Bado airport tu wamalize mchezo...wameuchukua wote wameupeleka Dubai manina hawa.
Mamammamamaaa maa yangu weeew maweeee! Bado airport tu wamalize mchezo...wameuchukua wote wameupeleka Dubai manina hawa.
Mzee wa conductance, conductivity, resistor colour code, capacitance Ac circuits mamae ina mahesabu flani hivi , kirchoffs law nk umeme ni hesabuuuukitaka fundi umeme sanifu naomba nicheki
Pamoja
unatengenezewa circuit, unashuka differential equations na izo laws page 4 hukoumeme ni hesabuuu
Electrical Engineering sijawahi pata D mamamaeunatengenezewa circuit, unashuka differential equations na izo laws page 4 huko
kuchoshana tu
Hesabu tupu kama mtu anagonga umeme anateleza sanadifferential equations na izo laws
ulisoma EE ? diploma au degree ?Electrical Engineering sijawahi pata D mamamae
hesabu zilinisumbua sana aisee, integrals kama mvuaHesabu tupu kama mtu anagonga umeme anateleza sana
Secondary school hizi za Technicalulisoma EE ? diploma au degree ?
ooh sawa sawaSecondary school hizi za Technical
hesabu zilinisumbua sana aisee, integrals kama mvua
Unataka kwenda Electrical Engineering, Electronics au Tele mwanangu, ndio ulipata ngapi hesabu "A" basi kama A nenda otherwise umepata nyingine usiendehesabu zilinisumbua sana aisee, integrals kama mvua
nilisoma EE dip, nikaenda degree, kwakua sikupita F6, zile integrals aisee zilinikimbiza sanaUnataka kwenda Electrical Engineering, Electronics au Tele mwanangu, ndio ulipata ngapi hesabu "A" basi kama A nenda otherwise umepata nyingine usiende
Hakuna mwanzo usio na mwisho hatimae umeua na ulivyosoma haviendani hata kidogo na hivi vya mtaaninilisoma EE dip, nikaenda degree, kwakua sikupita F6, zile integrals aisee zilinikimbiza sana
nilikuwa katika hali tete sana
hii ndiyo shida, wanaotunga mitaala sijui huwa wanafikiria ninina ulivyosoma haviendani hata kidogo na hivi vya mtaani
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.