Natafuta mchumba baadae awe mke

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Mambo mchumba wangu
Natafuta mchumba hapo baadae awe mke wangu. Kwanza ningependa tufahamiane kabla hatujafikia maswala ya ndoa. Sifa zangu
Umri: Nina miaka 25
Elimu: Chuo (undergraduate)
Dini: Mkristo (japo siendi kanisani)
Urefu: 170cm
Rangi: Mweupe
Kazi: Natafuta kazi (nina kazi ndogo ndogo)

Sifa za mchumba wangu
Umri: Miaka 25 kupungua
Elimu: kuanzia kidato cha nne
Dini: Kikubwa awe na hofu ya Mungu
Urefu: 160cm
Rangi: iwe ya kung'aa tu
Kazi: kazi sio kipengele changu

Cha kuongezea napenda mwanamke asiye na aibu wala haya. Nakupenda sana mchumba wangu karibu tuongee
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
🤣🤣🤣🤣 duh! Hata dada yangu sikupi 🤣🤣🤣 bado unawenge kama lote subiri kwanza uyatambue majukumu ndio utafute manzi 🤣🤣🤣 acha kukurupuka 25yrs still so young my friend 🤣🤣🤣 believe it or don’t life has so many obstacles you have to hustle hard to overcome all of those barriers...
 
Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
🤣🤣🤣🤣 duh! Hata dada yangu sikupi 🤣🤣🤣 bado unawenge kama lote subiri kwanza uyatambue majukumu ndio utafute manzi 🤣🤣🤣 acha kukurupuka 25yrs still so young my friend 🤣🤣🤣 believe it or don’t life has so many obstacles you have to hustle hard to overcome all of those barriers...
I don't want your sister and I don't think she is qualified enough.
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
🤣🤣🤣🤣 duh! Hata dada yangu sikupi 🤣🤣🤣 bado unawenge kama lote subiri kwanza uyatambue majukumu ndio utafute manzi 🤣🤣🤣 acha kukurupuka 25yrs still so young my friend 🤣🤣🤣 believe it or don’t life has so many obstacles you have to hustle hard to overcome all of those barriers...
Dah una dada kumbe miaka yote hii hata kuniambia?
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Sasa prezzzi wewe si umeoa lkn nikwambie nina dada ili iweje sasa 🤣🤣🤣 ninao watatu ni pisi balaa yani wako so beautiful than na wanatabia nzuri sana za binti mwerevu mwenye asili ya Tanzania
Nimekufahamu kabla ya Kijiji ila sijawahi ona una dada. Hao dada umewapata lini we jamaa mbona muongo sana

Kama kwenu wewe mtoto wa mwisho hao dada watakuwa wakubwa sana wanahitaji wajukuu
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Nimekufahamu kabla ya Kijiji ila sijawahi ona una dada. Hao dada umewapata lini we jamaa mbona muongo sana

Kama kwenu wewe mtoto wa mwisho hao dada watakuwa wakubwa sana wanahitaji wajukuu
Dah! Unazingua prezzii mimi sio lastborn ila ni mtoto wa pili kuzaliwa alianza brother nikafuata kisha hao wadada watatu na lastborn ni wakiume basi...

Wakati tukiwa shule tukiwa form 3 alikuja mdogo wangu anaenifuata kufanya interview pale makongo lkn akaogopa mazingira na story nilizokua namwambia akalia asisome pale ndio bimkubwa akampeleka loyola...
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
🤣🤣🤣🤣 duh! Hata dada yangu sikupi 🤣🤣🤣 bado unawenge kama lote subiri kwanza uyatambue majukumu ndio utafute manzi 🤣🤣🤣 acha kukurupuka 25yrs still so young my friend 🤣🤣🤣 believe it or don’t life has so many obstacles you have to hustle hard to overcome all of those barriers...
uyu jamaa hata usimsikilize, ANA WIVU
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Dah! Unazingua prezzii mimi sio lastborn ila ni mtoto wa pili kuzaliwa alianza brother nikafuata kisha hao wadada watatu na lastborn ni wakiume basi...

Wakati tukiwa shule tukiwa form 3 alikuja mdogo wangu anaenifuata kufanya interview pale makongo lkn akaogopa mazingira na story nilizokua namwambia akalia asisome pale ndio bimkubwa akampeleka loyola...
Kumbe ulikuwa unamficha sister tungekuwa mashemeji ungekula mema ha nchi
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Kumbe ulikuwa unamficha sister tungekuwa mashemeji ungekula mema ha nchi
Nilijua pale makongo wahuni wengi sana nilifanya jitihada asisome pale maana mngemwaribia future yake mapema... 🤣🤣🤣

Sasa ni afisa mikopo benk ya CRDB anakula nchi taratibu tu hana wasiwasi na ikifika next year nategemea kumuozesha kwa engineer mkubwa sana wa mgodi flani mwanza...Dah! Mahari Ni kubwa sana wewe prezzzi usingeweza kuimudu 🤣🤣🤣
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Dogo unataka mchumba hutaki mbona unakuwa mkali na mashemeji zako?
Anawenge la kwenye kujieleza na kujitambua anataka nini maishani mwake sasa hao warembo atawaweza kweli...🤣🤣🤣

dronedrake kaka njoo uongeze jina la huyu mwamba kwenye list ya CHAPUTA 🤣🤣🤣
Ukiwa kama muasisi naomba umpatie kijana taratibu zote za malipo ya kadi ya mwanachama 🤣🤣🤣
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Nilijua pale makongo wahuni wengi sana nilifanya jitihada asisome pale maana mngemwaribia future yake mapema... 🤣🤣🤣

Sasa ni afisa mikopo benk ya CRDB anakula nchi taratibu tu hana wasiwasi na ikifika next year nategemea kumuozesha kwa engineer mkubwa sana wa mgodi flani mwanza...Dah! Mahari Ni kubwa sana wewe prezzzi usingeweza kuimudu 🤣🤣🤣
Ngoja nikuvue platinum membership haiwezekani unikatili kiasi hicho.
watu wengi walikuwa wanawaficha dada zao hata salamu hawataki

Wewe ulikuwa mwaribifu mkubwa wa dada za watu. Tena ulikuw unajifanya wa kishua unakuja na Raba kila siku wakati hairuhusiwi. Ulichezea stick za kutosha😀
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Anawenge la kwenye kujieleza na kujitambua anataka nini maishani mwake sasa hao warembo atawaweza kweli...🤣🤣🤣

dronedrake kaka njoo uongeze jina la huyu mwamba kwenye list ya CHAPUTA 🤣🤣🤣
Ukiwa kama muasisi naomba umpatie kijana taratibu zote za malipo ya kadi ya mwanachama 🤣🤣🤣
dronedrake katukimbia simuoni humu
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Ngoja nikuvue platinum membership haiwezekani unikatili kiasi hicho.
watu wengi walikuwa wanawaficha dada zao hata salamu hawataki

Wewe ulikuwa mwaribifu mkubwa wa dada za watu. Tena ulikuw unajifanya wa kishua unakuja na Raba kila siku wakati hairuhusiwi. Ulichezea stick za kutosha😀
Ujaacha mikwara yako prezzii 🤣🤣🤣 umod umeninyang’anya sawa ila bado hujatosheka...Dah! Hakimu amenipa masharti magumu sana niyatimize ndio anirudishie umod...Dah! Nahisi sitafaulu katika hili sababu moja kuu sitaki kubadili jina hili kwa sasa wala baadae na kama ndio sababu sihitaji kuwa moderator kabisa🤣🤣🤣
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Atakuwa kule jijini nahisi ameona huku bushi wamejaa madume tupu halafu bado ni wadogo kiumri hata kupeana ushauri wa maendeleo hawajui...Wanawaza kutafuta mbususu at age of 25yrs 🤣🤣🤣 for real this can’t be serious...
haha 🤣 sasa kaka mbona huandiku uzi za biashara vijana wajifujze mbinu mbafala za maisha
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ujaacha mikwara yako prezzii 🤣🤣🤣 umod umeninyang’anya sawa ila bado hujatosheka...Dah! Hakimu amenipa masharti magumu sana niyatimize ndio anirudishie umod...Dah! Nahisi sitafaulu katika hili sababu moja kuu sitaki kubadili jina hili kwa sasa wala baadae na kama ndio sababu sihitaji kuwa moderator kabisa🤣🤣🤣
Haha 🤣 aisee
Umeshindwa timing mashart madogo tu hayo utaweza kweli umod
Ila utapewa cheo cha senior member platnum bado ni cha chini
 
Similar threads

Ndugu zangu nazani mnajua ya kwamba mimi niko single, nmekuja hapa ili mnisaidie jambo hili... Kipindi cha nyuma kidogo nliangaliaga series ya GOT (game of throne).. kwa kweli nlijikuta nampenda sana huyu dada mother of dragon, Nasijawai penda mdada mwingine mpaka leo hii, kwahvo inanibidi...
Replies
49
Views
624
"If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude. Don't complain." Wakuu mko gudi? Mmeshiba? Mna Amani? Leo nimekuja na hii kitu inaitwa KULALAMIKA. Mara nyingi watu walalamishi awajuagi wanatabia hii, kwahiyo kuwashauri ni ngumu maana ubishi ndio sifa yao...
Replies
6
Views
94

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom