Nisahihi kunywa maziwa ya pakiti bila kuchemsha?

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,699
Reaction score
6,206
Points
113
Habari đź‘‹ husika na kichwa hapo juu je ni vizuri kunywa maziwa ya pakiti mfano asas bila kuchemsha mada hii imekuja akilini baada ya kunywa asas ya baridi na corn flakes

Binafsi napenda sana maziwa
 
Maziwa huwa nachemsha
Ingawa huko yanapotoka yanachemshwa

Wakati unayatoa kwenye pakti unaweza contaminate. Vizuri ukichemsha kuhakikisha usalama

Ila ya mtindi huwezi chemsha
 
Huku kwetu kupata hayo ni connection
Pole sanaa.. mimi asubuhi nachemsha lita nliyochanganya mchaichai, nusu lita nakunywa asubuh iyo inayobaki naacha ipoe kabsa naipiga jioni au usiku inakuwa burudani.
 
Pole sanaa.. mimi asubuhi nachemsha lita nliyochanganya mchaichai, nusu lita nakunywa asubuh iyo inayobaki naacha ipoe kabsa naipiga jioni au usiku inakuwa burudani.
Duh! Unapata raha sana huku ukiyapata yametiwa na maji yani ni tabu
 
Back
Top