Wasalaam
Huu uzi wa kipekee wa kutupia picha ya chakula unachokula. Sio lazima Updike wewe unaweza kuwa umenunua au umekipika. Ingependeza ukatupia picha ukiwa hujala na baada ya kula😀
NB: Usi upload picha ya chakula vinavyowekwa mtandaoni
Wakuu nipo alone mwenyewe huku muda umesonga kigiza kimeingia ila sijui nipike nini au ninunue kiepe?
Wadau nipeni mawazo msosi wa chap ambao hautumii nguvu na ela nyingi duh nimekuwa mvivu wa kufikitia
Gily Leejay Katkit
Waswahili wanasema Tembea Uone!
Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake.
Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
Habari 👋 husika na kichwa hapo juu je ni vizuri kunywa maziwa ya pakiti mfano asas bila kuchemsha mada hii imekuja akilini baada ya kunywa asas ya baridi na corn flakes
Binafsi napenda sana maziwa
This thread is unique because it is dedicated wholeheartedly to making your coffee-drinking experience the absolute best it can be.
Let's discuss why we love drinking coffee, favorite coffee drinks, reviews of various coffee machines and shops, great books and other resources about coffee, and...
Wanakijiji wazima
Nimewaza jinsi watu kutoka nje wanavyokuja kutembelea mbuga zetu za wanyama, kupanda mlima kilimanjaro nk nk.
Hivi sisi watanzania muamko wetu upo vipi kwenye hizi mbuga zetu
Wasalaam
Wakati wife yuko pregnant alipenda kula sana mapapai. Hii ilimpelekea shida kwa sababu chupu chupu mimba itoke. Hakuna kati yetu aliyejua kuwa mapapai yanaweza kusababisha mimba kutoka yakizidi.
Hivyo basi hapa kutakuwa na mchango wa mawazo mbali mbali juu ya vyakula salama kwa wamama...
Wasalaam
Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula.
Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...