Bwana Yesu Asifiwe?
Tumsifu Yesu Kristo?
Mwana kondoo ameshinda!
Shalom shalom!
Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Wanaume !!
Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi?
Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia?
Mwanaume hatakiwi kula chips mayai?
Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze?
Wanaume ni...
Wasalaam
Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula.
Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...