kitimoto kitamu sana

mshamba_mkuu huko mbeya atakuwa anakula mdudu na chips kila week.

Ila ndugu zangu nataka niache kula nyama for a year. Ushahuri tafadhali hiki kitambi kitakuja nidhalilisha
ni ngumu, ushauri ni mwingi na utachanganyikiwa... ila mimi nimepoteza mda mwingi mitandaoni kufuatilia na nina uelewa kidogo, ila kama kweli unataka kukipunguza tumia mda mwingi kufuatilia hayo mambo ya mazoezi mtandaoni... mwanzo utaona kama kuna mambo mengi, ila ukishapata taarifa kutoka vyanzo fulani, kuna picha itajengeka kichwani kwako...

kuna hii article nzuri inanyoosha maelezo nakutumia watsapp
 
Chips jero kweli mzee??hivyo viazi na mafuta ya transformer
Wakishua wewe haya huwezi yajua .
Nenda keko mtaa wa Magurumbasi pembezoni na gereza la keko kama waelekea bandarini utawakuta hakina mama wanapika na kuuza vichips vya jero wanapimia kwenye vikombe vidogo vya chai .

Vijana wa chuo cha DUCE wanaponea huko na chuo cha Uhasibu huko ndiyo wanapambana kutunza boom zao
 
Se

Ma sasa nipo huku manyara camp siku nitatembea huko
 
ni ngumu, ushauri ni mwingi na utachanganyikiwa... ila mimi nimepoteza mda mwingi mitandaoni kufuatilia na nina uelewa kidogo, ila kama kweli unataka kukipunguza tumia mda mwingi kufuatilia hayo mambo ya mazoezi mtandaoni... mwanzo utaona kama kuna mambo mengi, ila ukishapata taarifa kutoka vyanzo fulani, kuna picha itajengeka kichwani kwako...

kuna hii article nzuri inanyoosha maelezo nakutumia watsapp
Shukrani san nitumie WhatsUp itanisaidia sana
Ila naamini nikipunguza kula nyama itanisaidia sana pia kupunguza uzito

Nataka kuwa vegetarian napata wakati mgumu sana
 
Wakishua wewe haya huwezi yajua .
Nenda keko mtaa wa Magurumbasi pembezoni na gereza la keko kama waelekea bandarini utawakuta hakina mama wanapika na kuuza vichips vya jero wanapimia kwenye vikombe vidogo vya chai .

Vijana wa chuo cha DUCE wanaponea huko na chuo cha Uhasibu huko ndiyo wanapambana kutunza boom zao
Haha hizo nimekula sana kipindi hicho. Ila aisee utoto raha zile chips zinakuwa tamu mnapanga foleni
 
Shukrani san nitumie WhatsUp itanisaidia sana
Ila naamini nikipunguza kula nyama itanisaidia sana pia kupunguza uzito

Nataka kuwa vegetarian napata wakati mgumu sana
Unajua unapokuwa vegetarian utaumwa ovyo ovyo
 
Se
Ma sasa nipo huku manyara camp siku nitatembea huko
Sawa kabisa , wasalimie ila huko si wamburu na wairaki ?

Tunza afya ndugu yangu ili mwakani tufanye vacation nje ya nchi maana nataka nimuombe raisi wetu hapa , tupange vacation ya mwisho wa mwaka kwa members wa mwanzo wa kijijiforums
 
Kweli mkuu au joking??
 
Haha hizo nimekula sana kipindi hicho. Ila aisee utoto raha zile chips zinakuwa tamu mnapanga foleni
Ni tamu sana .
Nilipata kufanya research moja na wahadhiri wa DUCE sasa kutokana kuwa nilikuwa ni mgeni kwenye sura za wanafunzi wa pale ikawa inabidi mimi ndiyo niingie mtaani kuchangamana na wasela nilienjoy maisha ya msela specifically wa chuo
 
Sawa kabisa , wasalimie ila huko si wamburu na wairaki ?

Tunza afya ndugu yangu ili mwakani tufanye vacation nje ya nchi maana nataka nimuombe raisi wetu hapa , tupange vacation ya mwisho wa mwaka kwa members wa mwanzo wa kijijiforums
Unataka ukavute Skanka South na makaburi😃
 
Ni tamu sana .
Nilipata kufanya research moja na wahadhiri wa DUCE sasa kutokana kuwa nilikuwa ni mgeni kwenye sura za wanafunzi wa pale ikawa inabidi mimi ndiyo niingie mtaani kuchangamana na wasela nilienjoy maisha ya msela specifically wa chuo
Vitu vidogo vidogo kwenyw maisha vina ridhisha sana. Unakuta unaenda sehemu kula pweza ghafla umekula nusu ya meza
 
Similar threads

Sijui anaitwa nani ila siku hizi naona anatrend sana kwenye status za watu , stickers nk halafu jamaa comedy zake haongei na code zake za mavazi zilezile.
Replies
6
Views
213
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
585
Nina kaproject kangu hapa simple ila nakula bags kama uchafu, nafix ila sometime sipati syntax error ila logical error na hii ni ngumu kufix sababu computer haiwezi ditect hii error naomba kupumzika kesho ninapepa huuuuu! Wataalamu nani nimtumie sourcecode anifanyie manuva?
Replies
0
Views
150
Hali hiyo inaweza pia kusababisha mashambulizi ya hofu, ambayo kwa kawaida hujumuisha baadhi ya dalili zifuatazo za kimwili: Kutokwa na jasho sehemu kubwa ya mwili Maumivu ya kifua Kichefuchefu au usumbufu wa tumbo Ugumu wa kupumua au kuhisi pumzi inakata Kizunguzungu au kuzirai Mapigo ya moyo...
Replies
16
Views
234
Back
Top