kitimoto kitamu sana

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mh Gily kwani mimi mdomo wangu ni kiatu jama ?
Ningeweka picha moja nikiwa mji mmoja wa watu nilikolishwa hiko kitu niliambiwa ni nyama pori .
Itoshe kusema mdudu ni haramu kwetu ila halali kwao .
Napenda nyama ya mbuzi kuliko maelezo. Huwa nikiona nyama ya mbuzi hata mate hudondoka

Wanadai wanaozaliwa December wanapenda mbuzi sana.
 
Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
Napenda nyama ya mbuzi kuliko maelezo. Huwa nikiona nyama ya mbuzi hata mate hudondoka

Wanadai wanaozaliwa December wanapenda mbuzi sana.
Gily haujala nyama ya tembo bado ila mimi kwenye kuku bado sijinasui hata kesho , ndugu tufuge kuku ni watamu sana .

Mdudu utampenda ukiwa mazingira yasiyo na ufugaji wake ila kwa mbeya mbali na dini hanivutii kwa uchafu na kushindwa kumuweka mazingira rafiki .
Yaani huku mdudu na bucha zake ni kama dar es salaam na vichips vya jero kwa mama Asunta wa kwa mtogole
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0

Chips jero kweli mzee??hivyo viazi na mafuta ya transformer
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Gily haujala nyama ya tembo bado ila mimi kwenye kuku bado sijinasui hata kesho , ndugu tufuge kuku ni watamu sana .

Mdudu utampenda ukiwa mazingira yasiyo na ufugaji wake ila kwa mbeya mbali na dini hanivutii kwa uchafu na kushindwa kumuweka mazingira rafiki .
Yaani huku mdudu na bucha zake ni kama dar es salaam na vichips vya jero kwa mama Asunta wa kwa mtogole
Nyama nilizokula
1. Tembo, Twiga, Sungura na Swala - Hizi nilishawahi kula mara ila bado siithaminishi kama ya mbuzi wa kienyeji

2. Nyati - Hii nyama ina kiu sana na inachambuka moja moja kama uzi. Ni tamu ila sikuipenda

3. Kima - Hii nyama ilikuwa tamu hatari ila sikujua kama ni kima. Naona kama nimekula mtu 😔

4. Mbuzi - Hii ni nyama yangu Pendwa naipa number moja.

5. Ng'ombe - Hii nakula mpaka inanichefua ina siku zake

6. Kuku - Kati ya siku 360 za mwaka nimekula kuku siku 300 Kuku wa Kienyeji sili kuku wa kisasa. Nakula kuku baada ya kuwekewa dharau na mpumbavu mmoja kwamba nimefilisika. Ninaandaa Album ya siku 300 nazokula kuku nimpe zawadi siku yake ya kuzaliwa. Amesahau fadhila zangu mpuuzi yule

7. Samaki - Nakula samaki ila napendelea sana samaki wa kupaka

8. Kondoo - Nakula ila sipendelea harufu yake
 
mshamba_mkuu huko mbeya atakuwa anakula mdudu na chips kila week.

Ila ndugu zangu nataka niache kula nyama for a year. Ushahuri tafadhali hiki kitambi kitakuja nidhalilisha
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Nyama nilizokula
1. Tembo, Twiga, Sungura na Swala - Hizi nilishawahi kula mara ila bado siithaminishi kama ya mbuzi wa kienyeji

2. Nyati - Hii nyama ina kiu sana na inachambuka moja moja kama uzi. Ni tamu ila sikuipenda

3. Kima - Hii nyama ilikuwa tamu hatari ila sikujua kama ni kima. Naona kama nimekula mtu 😔

4. Mbuzi - Hii ni nyama yangu Pendwa naipa number moja.

5. Ng'ombe - Hii nakula mpaka inanichefua ina siku zake

6. Kuku - Kati ya siku 360 za mwaka nimekula kuku siku 300 Kuku wa Kienyeji sili kuku wa kisasa. Nakula kuku baada ya kuwekewa dharau na mpumbavu mmoja kwamba nimefilisika. Ninaandaa Album ya siku 300 nazokula kuku nimpe zawadi siku yake ya kuzaliwa. Amesahau fadhila zangu mpuuzi yule

7. Samaki - Nakula samaki ila napendelea sana samaki wa kupaka

8. Kondoo - Nakula ila sipendelea harufu yake
Ushakula nyati na kangaroo??jana nimekula kangaroo ni tamu kweli nyama laini
 
Similar threads

Sijui anaitwa nani ila siku hizi naona anatrend sana kwenye status za watu , stickers nk halafu jamaa comedy zake haongei na code zake za mavazi zilezile.
Replies
6
Views
214
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
587
Nina kaproject kangu hapa simple ila nakula bags kama uchafu, nafix ila sometime sipati syntax error ila logical error na hii ni ngumu kufix sababu computer haiwezi ditect hii error naomba kupumzika kesho ninapepa huuuuu! Wataalamu nani nimtumie sourcecode anifanyie manuva?
Replies
0
Views
150
Hali hiyo inaweza pia kusababisha mashambulizi ya hofu, ambayo kwa kawaida hujumuisha baadhi ya dalili zifuatazo za kimwili: Kutokwa na jasho sehemu kubwa ya mwili Maumivu ya kifua Kichefuchefu au usumbufu wa tumbo Ugumu wa kupumua au kuhisi pumzi inakata Kizunguzungu au kuzirai Mapigo ya moyo...
Replies
16
Views
234

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom