No respect whatsoever for Mr President

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,617
Reaction score
26,430
Points
113
Wasalaam
Toka niingie madarakani na kuwa Raisi wa KijijiForums nimepata sonona sana. Kwa nini?

Nimepata sonona kutokana na majungu ya watu humu ndani na nje ya hapa. Kwa sababu nimekuwa nikitwa majina ya ajabu ajabu ila leo mwana kijiji kunifata PM na kuniita Mama Samia nikavunga akaendelea mama huyoo. Hizi si dharau kabisa ??? mwanaume unaitwaje mama?

Kuna wengine wananiita kwa kebei kabisa kama huyu @AlmightyGod na @mshamba_mkuu . Utawasikia raisiiiiii, prezidaaa, muheshimiwaa, Mzee wa michongo, kipipa, tumbo, Jiwe, Kitiii (nadhani wanamaanisha 🐖🐷🐽🐗). Kuna mtu kwenye thread zake ananitag kitii kimezungumza 🐖 🐷 🤬

Hata mke wangu nyumbani baada ya kumweleza sasa mimi ni raisi wa KijijiForums na yeye ni first lady naona majungu yamezidi. Baada ya kuniomba jambo lake nikamkatalia. Asubuhi hii hakuniamsha niwahi kazini namuliza kwa nini hukuniamsha? anasema kaniamsha sana sema mimi ni raisi mlala hoi😕 si dharau hizi?

Sasa heshima ni kitu ya bure kwa wale wanaoendeleza utani mnanichukulia kuwa mimi ni "mwana" mtajua hamjui kuwa kama mimi ni "mwana haramu (pig 🐖 🐷)" au "mwanahamisi - mama raisi".
 
Last edited:
🤣🤣🤣 Rais wa KijijiForums utawale mpaka kufa. Nipo kufuata misingi na taratibu zako Mr.prezzzz I say yes sir 🤣🤣🤣 I am your SLAVE

Mitano tena kwa Bwana mfalme 🤣🤣🤣
Nashukuru sana kwa kuwa mtumwa watu sasa utakula chini ya meza yangu. Nakuahidi as long as I am president utakuwa na maisha mazuri😀😀😀
 

Similar threads

The wreck of a plane carrying Malawi's vice-president has been found with no survivors, President Lazarus Chakwera has said. Saulos Chilima and nine others were flying within the country on Monday morning when their aircraft disappeared from airport radars. The plane, a military aircraft, was...
Replies
6
Views
325
Search and rescue operations will continue until the missing aircraft carrying Malawi's vice president, Saulos Klaus Chilima, is found, the southern African nation's president said late on Monday. Chilima, 51, was aboard a military aircraft with nine others that left Lilongwe, the capital, at...
Replies
1
Views
113
Habari zenu.. The great manenge KF President. Basi nikiwa kama Raisi wa heshima kabisa. Nitafanya haya.: Nitahakikisha kila forum nimeandika uzi mmoja koki/jiwe. Nitajitahidi ndani ya huo mwenzi mmoja niliyopewa members wasiwe chini 100 tena active. Last one kipo moyoni mwangu..
Replies
58
Views
787

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top