Nyimbo gani ya mapenzi inakukumbusha majonzi

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Dah kunanyimbo fulani hivi ukizisikia zinatia huruma sana na kukukumbusha majonzi

Mimi hizi
1.Macvoice ile nyota mwezi nini chozi (jina nimesahau 😁)

2.Unaempenda kam mpenda mwingine, usilazimishe utazeeka vinaya

Wewe je? (Weka audio ikiwezekana

@Gily nisaidie kuweka majina ya hizi nyimbo audio
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Zuchu Ft Mac voice - Siri ya penzi mwezi nyota

Lyod Music - Kubaki (unampemda nae kampenda mwingine)

Dah kunanyimbo fulani hivi ukizisikia zinatia huruma sana na kukukumbusha majonzi

Mimi hizi
1.Macvoice ile nyota mwezi nini chozi (jina nimesahau 😁)

2.Unaempenda kam mpenda mwingine, usilazimishe utazeeka vinaya

Wewe je? (Weka audio ikiwezekana

@Gily nisaidie kuweka majina ya hizi nyimbo audio
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
😄 mwaka 2001 nilimpenda demu hapo niko primary basi kuja kugombana na mdogo wangu anayenifuatia nikaachana na yule binti. Dah

basi nilikariri nyimbo yote ya Machozi - Lady Jay D😬 kujiliwaza
 

Similar threads

Nyimbo au wimbo gani uliokua unaukubali sanaa, na ulikua unausikiliza kila saa, ila kwa sasa huwezi usikiliza, na unajiuliza uliupendea nini? Mimi nyimbo ziko nyingi ila kwa uchache ni hizi👇👇 Camila cabello ft young thung "havana" Jedenna "bambi" Desiigner "panda"
Replies
25
Views
303
Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
269
Replies
8
Views
479
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Replies
14
Views
557

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom