Raisi Samia amvua Dk Wilbroad Slaa

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,770
113
Raisi Samia amvua DKt Wilbroad Slaa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X.

Dk Wilbroad Slaa aliwahi kuwa Katibu wa Chadema Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweeden.
Dk Slaa alipewa hadhi hiyo mwaka 2017.

H_E_Dr_Willibrod_Peter_Slaa.jpg
 

Similar threads

Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa...
Replies
3
Views
429
Nina maana ukipata watu 20 au 30 kila siku mtu mmoja anatoa 5000 au 10000 na kila siku mtu mmoja anatoka. Siitatusaidia kidogo kupambana na maisha. Wewe ni prezidaa uwezi kimbia ukaacha app
Replies
102
Views
2K
RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Protase Rugambwa kwa kuteuliwa kuwa Kardinali. Katika ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa twitter Rais Samia aliandika: “Nakupongeza Askofu Mkuu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu...
Replies
3
Views
484
Top Bottom