Ramani ya nyumba na vipimo vyake

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Wasalaam
Tuko kwenye Kijiji cha ujenzi na hapa kila mmoja atapata nafasi ya kutupia ramani ya ujenzi yenye vipimo vyake. Kupitia ramani hizi kila mwana kijiji anaweza jenga nyumba ya ndoto yake. .Floor-plan-with-dimensions.jpg
 

Similar threads

Ushawahi pata hisia za kutaka kutembelea sehemu au nyumba ambayo uliishi utotoni? Una kumbukumbu za kutosha kuhusu nyumba nyumba hii au sehemu ambayo umekulia? Karibu tukumbushane maisha ya utotoni na makuzi tuliyokulia hapa. Binafsi: Nimekulia Kinondoni B. Nilikuwa naona sifa sana kujiita...
Replies
29
Views
540
Habari zenu:.. Kumekuwa na kasumba mbaya kwa vijana,vijana wa sasa wananunua mandinga kitu cha ajabu hawana viwanja wala nyumba. Aisee nyumba na kiwanja kila siku inapanda thamani Ila gari linashuka thamani
Replies
8
Views
296
Hoteli nne na nyumba moja ya makazi zimeungua moto Paje Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Hoteli hizo ni pamoja na; Cristal resort, Maisha Matam, Drifters na The Nest Boutique resort Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Rajab Mkasaba...
Replies
4
Views
505
Mbeya. Siku moja baada ya mwanafunzi, Esther Noah kupatikana akiwa hai, anaendelea na vipimo kwenye Hospitali ya Rufaa kitengo cha Wazazi Meta jijini Mbeya kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Mwanafunzi huyo (18) wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Panda Hill alidaiwa kupotea katika...
Replies
12
Views
781
Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA kwa watoto wao imeongezeka kwa asilimia 70. "Hivi majuzi, idadi ya watu wanaoomba huduma za DNA...
Replies
11
Views
1K

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom