Sehemu gani kwenye mapenzi hutaki iguswe

Sijawahi kuwa kwenye position ambazo mwanamke anaweza kugusa kalio. Sasa unampelekea mtu moto anapata wapi mda wa kugusa kalio😆

acheni style za kizungu. Ila @Leejay Kuna jirani yangu hapa napoishi akiguswa kikubyeo na mshikaji huwa ni kelele sana tunakosa usingizi
 
aisee 😃😃😃, mimi siwezi kabisa yani kwanza tutaachana siku hiyo hiyo hua najiskia vibaya sana nikiguswa hapo
 
Dah! Mimi sipendi kitendo cha mwanamke kuning’ang’ania nisichomoe pale anapokuwa amefika kileleni yani unakamatwa kiuno hadi unahisi ni vita kumbe yeye anasikia raha hadi kufa 🤣🤣🤣🤣
 
umeoa lini mzee?😀

huku unafukuzia mbusus ya clepatina aisee
Sijaoa bado ila natarajia kubariki ndoa na huyu nilienae kwa sasa...CLEPATINA ilikua vuta ni kuvute ya mimi na wewe nani ataibuka kidedea and to be honestly nilishinda maana manzi alikuja PM mwenyewe ila akaniambia yupo kwenye serious relationship kwa hiyo nikaona nitemanenae...
 
aah hongera kwa kushinda. Yule manzi mnastahili Sana kuwa pamoja
 
Similar threads

Naogopa kwenda kwenye lile daraja la vioo china maana mimi na kuanguka nafia angani kabla hata sijafika ardhini Wewe je?
Replies
42
Views
560
Mambo ambayo mwanamke anatakiwa kujua kahusu sehemu zake za siri 1. Sehemu za siri zinajisafisha zenyewe Idadi kubwa ya wanawake, wana imani kuwa wakitumia bidhaa mbalimbali za urembo, kama sabuni basi ndio watajisafisha vizuri sehemu za siri. Hakuna haja ya kutumia chochote kusafisha sehemu ya...
Replies
12
Views
254
Habari wanakijiji Wakati niko shule ya msingi tukifundishwa kuwa ukiumwa na nyoka unatakiwa ufunge juu ulipoumwa na nyoka kuzuia damu yenye sumu kisambaa mwilini. Hivi karibuni nimeona taarifa tofauti zikitolewa kuwa si sahihi. Taarifa zinasema "Baadhi ya watu hufunga kwa nguvu sehemu iliyoumwa...
Replies
5
Views
224
  • Question Question
Wasalaam Kwa sisi ambao tumebahatika kuwa katika mahusiano na zaidi ya mara moja, tumekuwa na majina ya kuvutia kuhusu sehemu zetu za siri😬😄 My es x girlfriend alikuw na ziwa moja kubwa moja limepungua kidogo hivyo lile kubwa nililita Kibo na lile dogo mawenzi 😄 I once named my dick young G😄...
Replies
75
Views
848
  • Sticky
Ugonjwa wa fangasi (Candidiasis) husababishwa na vimelea vijulikanavyo kwa kitaalamu kama ‘Candida albicans’. Vimelea hivi hushambulia jinsia zote lakini hushambulia zaidi wanawake sababu ya maumbile yao ya sehemu za siri kuwa na unyevunyevu kitu kinachopelekea wao kuathiriwa zaidi kuliko...
Replies
25
Views
496

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top