Poor brain
New member
- Jul 3, 2023
- 120
- 344
- 0
Kama upo online mda Huu. share chochote na wenzako waliopo online hapa Kijiji forum.
Jf ndio wapi mkuu ?kwanini ulipigwa ban jf
if you don't get it, forget itJf ndio wapi mkuu ?
hauna sifa? Kwani kulikuq hakuna uvccm huko shule uliyo soma?Duhhh! Bodi ya mikopo kwa tusio na sifa tunapataje mikopo?
kwaiyo vijana wa nta lev 5 tunapata?hauna sifa? Kwani kulikuq hakuna uvccm huko shule uliyo soma?
ntl level 5 ndio diploma au bado ni certifcate?kwaiyo vijana wa nta lev 5 tunapata?
Diploma one (mwaka wa pili)ntl level 5 ndio diploma au bado ni certifcate?
Diploma one (mwaka wa pili)ntl level 5 ndio diploma au bado ni certifcate?
Ukimaliza dip ukitaka kwendelea ndio wanatoa fursa ya mkopo..Diploma one (mwaka wa pili)
Nitaomba nikimalizaUkimaliza dip ukitaka kwendelea ndio wanatoa fursa ya mkopo..
Mimi nitoka dip kisha nikaapply nikapata 100%
Ikawe heriNitaomba nikimaliza
Course gani ?Ukimaliza dip ukitaka kwendelea ndio wanatoa fursa ya mkopo..
Mimi nitoka dip kisha nikaapply nikapata 100%
Finance & busnssCourse gani ?
Hawatoi ndiyoDiploma sidhani kama wanatoa mikopo
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.