ShortStory: Saa 24 Utauponza

Mtaa mmoja uswahilini mazense degelobozi kulikuwa na guest house inayomilikuwa na Babu Ntale Ntule, pembeni kulikuwako na mamantilie maarafu kwa mama upawa

Mtaa hauna amani kutokana na kuwepo kwa wauni magangstar aka kunguru walamba lips, wafanya biashara mda wote wanatembea na funguo zao kuanzia mama upawa na babu Ntale Ntule

Mama upawa alikuwa na binti kwa jina sepetu mpepetua binti wa kitanga rangi ya mtume

Gru kijana kutoka familia ya kitajiri, baba yake ni waziri mstaaafu baada ya kuishi marekani alipikuwa akipata masomo aliamua kurudi bongo

Lakini alianza kujenga urafiki na vijana wahuni baada ya siku moja kutetewa baada ya kugoma kusaula wauni wakataka wapite na mirinda nyeusi, ndio alipoanza kuwatoa wana buku au jero akipata kwa kulipa fadhira ya kutetewa brake zake

Siku moja aliwaambia marafiki zake i want to spend my time zururaring whole city from sobibo tu masaki, wana wakamwambia kuwa mtaa wamazense dogolobozi kuna pisi kinyama mtoto wa mama upawa kwakua unapesa nenda mzeee

Kijana gati kali hivyo siku moja akapata muda akatoka akaulizia ulizia mpaka kuupata mtaa ile kuingia tu mtaaa

Maraaaa

ITAENDELEA

Sina kazi ndio maana
 

Similar threads

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu. Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka...
Replies
0
Views
508
Huyu Mwamba, mnamo mwaka 1982, alimfurusha Rais Moi Ikulu na akachukua nchi. Ilikuwa hivi!! Hezekiah Ochuka, alikuwa ni mwanajeshi wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Kenya. Inasemwa alikuwa ni rubani matata sana na mtundu. Mwaka 1982, akiwa kikosi cha anga, aliamua kuteka Airforce One na kuingia...
Replies
1
Views
86
Back
Top