Simulizi: Kijiji cha Wakamoto na hekaheka za Gerbet

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

WAHUSIKA

Gerbet == @Gily

Mkuu wa kituo == @mshamba_mkuu

Muuza mahindi == @Analyse

Wahusika wengine watakuja mbeleni

KIJIJI CHA WAKAMOTO:


Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza kutoka dar es salaam yalipo makazi ya wazazi wake Matajiri na Waheshimiwa katika vitengo vya juu serikalini, mpaka Shinyanga ardhi ya kijiji hiko ambacho kimetawaliwa na Wasukuma

Aliripoti kazini saa 8 mchana baada ya kutumia usiku wa jana safarini na kuwasili ahsubuh na katika michakato ya kufika, kijana msomi huyu anajitambulisha kwa mkuu wa kituo hiko

Mkuu wa kituo: Aaaa Mwarabuu karibu sana

Gerbet: Mkuu naitwa Gerbet na si Mwarabu

Mkuu wa kituo: Ndio ishakuwa nickname yako hii no discussion kwa mtoto mweupe wewe utayaweza maisha ya kijiji hiki?

Gerbet: Nitapambana tu maana hata kuja huku ni kazi tosha kutoka kwa wazazi wangu kunikataza sana

Mkuu wa kituo: Mwarabu Hongera sana, kunanyumba kidogo ipo mbali na kota za wafanyakazi ila hipo ndo utakapo ishi, kama unakitu unataka kununua tunaweza kwenda maana mwenyewe naenda kunyoosha miguu sokoni huko

Gerbet: Sawa Mkuu twende

Safari ilianza kutoka kituo cha kazi mpaka sokoni,

Gerbet: Kiongozi nahitaji masofa, kabati na kitanda + godoro lake pia na redio, umeme si upo?

Mkuu wa kituo: Ndio umeme uwakika mzee ila ukikatika unakaa mpaka wiki haujarudi

Gerbet: Nahitaji na solar
Bidhaa hizo zote zilinunuliwa na kupakiwa kwenye gari aina ya kirikou, oooh muhindi Oya unauza shilingi ngapi?

Muhindi mzima miambili tu

Gerbet: Duuh huku vitu cheap sana ?

Muuza muhindi: Cheap ni kule chini mkuu kuna nyoka hatari

Gerbet: Namaanisha mnauza bei rahiai mjini huu buku mzee, hebu nipatie

Muuza mahindi: Aaaa ngoja nikufungie

Gerbet: We usifunge wala nini, weka pilipiki na ndimu kidogo

Muuza Mahindi: duuuh pilipili tangu lini na mahindi

Mkuu wa kazi: Oya mwarabu chapu basi gari inaondoka au utatukuta

Gerbet: Oya ela hii yapo (huku akipokonya muhindi na kutupa maganda yake)

Muuza mahindi: Funika muhindi huo

Gerbet: Naukamua hivihivi raha ya ndizi kumenya maganda

Gerbet alianza kuutafuna muhindi huku akitembea katika lindi la watu na kupanda kwenye gari kisha gari lilitoweka kupeleka vitu vya Gerbet katika ghetto lake jipya.

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

(MLIO ULISIKIKA)

Mkuu wa kituo: Naona umeshiba sasa😂

Gerbet: Mkuu brake zimezidiwa 😞, Mamaweee Mkuu cheki tumbo langu limekuwa kama Tikitimaji limejaa nini ghafla hivi?

Mkuu wa kituo: 😂😂😂😂😂😂😂hahahahahahahbahahahahahhahahha

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu
(MLIO ULISIKIKA)
Mkuu wa kituo: Jikaze basi Mwarabu

Gerbet: Sio kama nafanya makusidi, breki hazishiki tumbo limejaaa gesi mkuu

Mkuu wa kituo: Sinilikuambia utawezana na hiki kijiji cheki tumbo lako sasa

Gerbet: Mamaweeeeeeeeeeeeee Nimekuwa Mjamzito (Akilalama kwa sauti kubwaaa)

Mkuu wa kituo: Hiyo inaitwa Welcome Student 😂😂😂😂

Gerbet: Ndio nini?

Mkuu wa kituo: Wamekukaribisha shuka sasa tumefika

Gerbet ilibidi aruke kutoka juu ya gari mpaka chini ile kutua tuuu 👇👇👇

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

(HUU SIO MLIO NI MILIO ILISIKIKA NA SURUALI ILISHINDWA KUHIMILI IKAAMUA KUCHANIKA ILI IPISHE GAS YA MTWARA ITOKE KWA KUJIACHIA)

Gerbet: Naumia Mkuu

Mkuu wa kituo: Mwarabu wahi chooni unatuharibia hali ya hewa unakuwa kama sio daktari

Gerbeti huyo sakantupele tupele speed 120 Mpaka chooni, huuuuwiiiiii(kashushapumzi baada ya kufika salama chooni)

Pratakapatakrapatapapratataaaaaaaaaaaaaaaa

(Uharo mmoja amazing aliushusha)

Mkuu wa kituo: Umekumbuka kushusha suruali kweli Mwarabu

Gerbet: Mama Yangu

Mkuu wa kituo: inalilah wainarilah rajuun 😂😂😂Mwarabuuuuuuuuuuu

Gerbet: Mkuu Nafanyaje sasa?

Mkuu wa kituo: Kwanza mbona umeingia bafuni? choo hukuona

Gerbet: Jesus Why meeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu wa kituo: 😂😂😂😂

Gerbet: Mkuu naungua fanya mpango wa maji basi

Mkuu wa kituo: Me sio mkeo ngoja nitafute mtu utamlipa

Gerbet: Sawa

4:30 HOURS LATER

Mkuu wa kituo: Maji haya hapa

Gerbet: Kimyaaaaaaaaaaa

Mkuu wa kituo: Mwarabu maji haya bwana

Gerbet: Kimyaaaaaaaaa

Mkuu wa kituo: Oya ndo ushadanja kwa harufu ya output ya muhindi?

Gerbet: Kimyaaaaa

Oya Inabidi tufungue mlango, duuh jamaa kazimia chooni, ilibidi mkuu wa kituo alipe watu ili wafanye usafi wafue na suruali jamaa kaogeshwa hajielewi na kulazwa msafi kabisa

HUU NI MKASA WA KIJIJI WAKAMOTO NA MAHANGAIKO YA GERBET



ITAENDELEA
 

Similar threads

Kichwa kinajieleza, Kuna baadhi ya muvie na simulizi ukiziangalia basi unajikuta umewakubali sana baadhi ya wahusika. Kwa mimi ni kama ifuatavyo: 1. Pedro Alonso/Berlin - Money heist Jamaa ana calmness, man of action, genius na yupo very cold. 2. Tommy shelby - peaky blinders Huu ni mwamba...
Replies
7
Views
377
Wanakijiji leo nasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu.. NASHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya Leo... Lakini pia SIO kinyonge! Siku hii nasherehekea pamoja na mastaa wakubwa duniani Kule HOLYWOOD yupo WILLY SMITH na hapa TZ, Yupo MCH. DR. ELIONA KIMARO... basi napokea zawadi kwa...
Replies
8
Views
389
We started Kijiji with a purpose to build stronger and more homelike environment. All who care about making Kijiji more thriving, vibrant, and interesting are welcome. We hope to gather people of many ages and perspectives, including those connected to business, governments, community groups...
Replies
27
Views
863
Kijiji Notes Management System ni mfumo wa kutunza notes zako kidigidali, utacreate account and then start writing your notes Hata simu yako ikipotea Basi unajua mahali pa kupata notes zako, mfumo huu ni bure Bado nipo KWENYE stage za mwisho za development nafikiri kesho au kesho kutwa...
Replies
5
Views
417

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom