Software Mbovu, Database imekorapti

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

dronedrake

New member
Joined
Jun 5, 2023
Messages
611
Reaction score
2,003
Points
0
Acha dharau za bure bure Jamifor nilikuwepo tangu October 4 last year cheki semester ya 1 nilipiga ngapi hapo na semester iliisha mwezi wa 3. Hujui kuwa nilikuwa one of the students wenye GPA kubwa na cheki somo la kiduanzi nililosap 47 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Somo nililopitwa ni programming pekee maana kulikuwa na 80's kadhaa.

Hayo mengine yote nilicharaza wote na walivyokuwa wanajikuta wapenda shule sasa mi kwa mwezi natinga mara 1 muda wote nipo humu.

Tukishinda huku mitandaoni tuna akili zetu. Mkuuu hii course yenyewe nimeisoma bahati mbaya tu ningeenda engineering mimi. 😁😁😁😁😁😁😁 Basi tu, nina malengo yangu binafsi.

Sasa nikiwaonesha ya O level na A level si mtakimbia hapa 🤣🤣🤣

Na ya semester ya 2 ntawaletea hapa muone muache kunidiss diss ye34nbe ni mtu mzito sana.....

Na nitakinukisha tena Jamiifo. Idiots 🚮🚮
View attachment 383
microControllers upo njema mzee ?
 
Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
mi mvivu sana kusoma, afu sipendi shule
Nani mpenda shule sasa, mkuu hamnaga hiyo sema basi tu tunatafuta cheti..... Na second option in life

Hapa napigia mahesabu. Hata nikiwa na mtoto nitam motivate asome hata yy ataona baba yake alikuwa kichwa darasani.

Imagine unazeeka huna elimu huna hela si utakuwa kituko kwenye familia.

Mi Kuna watu wapo hivyo kwenye ukoo wetu of course lazima uwaone kama watu flani hivi jau. Tena ukute alikuwa na uwezo wa kusoma kabisa.

Miaka hiyo ila alipuuza matokeo yake ndo huwa mabaya.

Utakosa heshima za aina zote. Mi kuna matajiri wengi nawajua wana value sana elimu. Japo ni business men. Wenye pesa zao.
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525

utafika mbali, mimi na shule no....
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Nani mpenda shule sasa, mkuu hamnaga hiyo sema basi tu tunatafuta cheti..... Na second option in life

Hapa napigia mahesabu. Hata nikiwa na mtoto nitam motivate asome hata yy ataona baba yake alikuwa kichwa darasani.

Imagine unazeeka huna elimu huna hela si utakuwa kituko kwenye familia.

Mi Kuna watu wapo hivyo kwenye ukoo wetu of course lazima uwaone kama watu flani hivi jau. Tena ukute alikuwa na uwezo wa kusoma kabisa.

Miaka hiyo ila alipuuza matokeo yake ndo huwa mabaya.

Utakosa heshima za aina zote. Mi kuna matajiri wengi nawajua wana value sana elimu. Japo ni business men. Wenye pesa zao.
Mdogo wangu nakupa big up! piga shule mshamba ni mtu aliyekata tamaa ngoja tuweke forum ya waliokata tamaa akawe mwenyekiti wao
 
Katkit

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 8, 2023
Messages
693
Reaction score
2,144
Points
93
Sitakuja kusahau nilipiga msuli kuanzia saa 3 usk mpaka saa 12 asb, nimeingia kwa pepa saa moja na nusu asubuhi nilichokisoma chote hakipo kwenye pepa. Nilicheka mpaka msimamizi alinitoa nje kwanza.
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Sitakuja kusahau nilipiga msuli kuanzia saa 3 usk mpaka saa 12 asb, nimeingia kwa pepa saa moja na nusu asubuhi nilichokisoma chote hakipo kwenye pepa. Nilicheka mpaka msimamizi alinitoa nje kwanza.
Ulitisha hiyo secondari hiyo
 
Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom