Tanzania imefanikisha kuunga ndege, itakayokuwa na gharama ndogo kama za gari.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL), yenye makao yake makuu mjini Morogoro,Tanzania, ilizindua Skyleader 600 kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania jijini Dar es Salaam.
Screenshot_2023-10-14-11-07-32-1.png

Ndege hizi ni za gharama nafuu,zinatumia mafuta kwa uchache, na gharama za matengenezo ni nafuu..

Wale mliokua na ndoto zakununua ndege naona mmerahisishiwa mambo.
Source WorldAirNews
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
Ndege hiyo aina ya Skyleader 600 ina uwezo wa kubeba abiria wawili (akiwemo rubani) na inakidhi mahitaji ya wafanyabiashara wanaosafiri umbali mrefu.
 

Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,116
113
Hongera kwa kuweka hii taarifa maana nilikuwa naitafuta sana

Anyway hiyo ndege hawajaweka engine ya noah kweli?
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113
Hongera kwa kuweka hii taarifa maana nilikuwa naitafuta sana

Anyway hiyo ndege hawajaweka engine ya noah kweli?t
😡😡 acha utan bas, Injini za magari zimeundwa kusukuma magari kwa kugeuza magurudumu, wakati injini za ndege zimeundwa kuendesha propela
 

Similar threads

Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa...
Replies
3
Views
429
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa amefariki dunia, akiwa anapatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. Tangazo la kifo cha Lowassa kimetangazwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt Philip Mpango. Katika tangazo fupi alilolitoa kupitia televisheni ya taifa, Mpango amesema kuwa Lowassa...
Replies
7
Views
366
Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
Replies
4
Views
199
Habari zenu?? Imeandikwa na the great manenge.. Inasemekana japani ndo nchi yenye watu wastaarabu duniani kote,watu wajapani wanapenda nchi yao,waaminifu linapokuja suala la nchi yao daima huweke taifa lao mbele ndo mambo mengine yanafuata. Ila kwa hapa tanzania ni tofauti...
Replies
2
Views
103
Mapendekezo ya wafanyabiashara Kasi ya utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Wafanyabiashara kwa sababu kuna mambo mengi mazuri yanayoweza kustawisha biashara na sekta binafsi. Serikali inatakiwa kutochoka kukutana na wafanyabiashara mara kwa mara, kwa sababu wao ndio wanajua shida...
Replies
1
Views
188
Top Bottom