Teknolojia ya Akili Mnemba (AI), inadumaza ubunifu katika muziki’ - Kimambo, Mtayarishaji wa Muziki

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,778
113
Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) ni teknolojia inayokuwa kwa kasi duniani huku ikianza kukita mizizi katika uzalishaji wa muziki kwa wanamuziki wa nchi za Magharibi.

Kupitia teknolojia ya AI mtu anaweza kuomba atungiwe mashairi kuhusiana na mada husika na kuiamrisha kompyuta kusuka mdundo na kukamilisha wimbo bila Msanii yoyote kuhusika.

Mwandishi wa BBC Frank Mavura amezungumza na John Kimambo, muandaaji wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania anayeona hatari ya teknolojia hii katika ubunifu kwa wazalishaji wa muziki.

BBC News Swahili
 

Similar threads

Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu, lakini pamoja na manufaa yake, kuna changamoto zinazohusiana na matumizi mabaya ya teknolojia. Hapa tunachunguza jinsi watu wanavyoweza kutumia teknolojia vibaya na matokeo hasi yanayoweza kutokea. 1. Uvamizi wa Faragha: Matumizi mabaya...
Replies
1
Views
406
Magonjwa Ya Akili Ni magonjwa ya akili yanamfanya mtu kuwa na mtizamo tofauti wa kihisia na kimawazo kufikiria tofauti juu yake Sababu Za Magonjwa Ya Akili: 1. Sababu Za Kibaiolojia Zifuatazo ni sababu za kibaiolojia zinazoweza kusababisha magonjwa ya akili ambazo ni pamoja na; kurithi...
Replies
1
Views
174
1. Kuajiri watu na kutumikia watu.. kwenye maisha ya sasa ya ushindani, inaitaji akili kubwa na sio hardwork tena, Muda ni fedha, anza kutumia muda wa watu(social network, na makampuni wanaingiza hela kupitia muda wawatu) usikae nyuma nyuma anza na wewe ndio dunia ya sasa inataka hivo... Anza...
Replies
55
Views
600
Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko. Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
Replies
3
Views
410
Sehemu ya hoja kwamba mama na si baba ndiye anayewajibika zaidi kwa IQ ya watoto inatokana na utafiti wa zamani ambao ulipendekeza genes nyingi muhimu zinazohusiana na akili ziko kwenye kromosomu ya X. Kama unavyoweza kukumbuka kutoka kwa biolojia, wanaume wana kromosomu ya X na moja ya Y...
Replies
11
Views
308
Top Bottom