- Jun 4, 2023
- 7,609
- 26,404
- 113
Mambo vipi
Hapa ni sehemu ya kuandika unatokea wapi au unaishi wapi. Binafsi kwa sasa niko naishi Kinondoni Manyanya. Ila natokea Kilimanjaro Mkuu Rombo
Angalizo: kama mtu akiandika anatokea mbinguni au motoni atakula makofi