Uko pande zipi?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Saizi nipo swekeni huku Yombo, DSM but nimetokea Morogoro na nina asili ya Handeni, Tanga japo sijawahi kufika na sina mpango.
Hardening kuna wajomba na mama zangu wakubwa na wadogo, mara ya mwisho kufika ilikuwa 1991. Natamani nitengenge mda nifike huko.
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mie siendi huko! Kuna walozi balaa naskia.
Kuna sehemu Tanga panaitwa Lunguza. Yani ukifika Lushoto ni safari masaa matano ufike huko. Hata wanawake huvaa kanga kifuani kana kwamba hamna nguo

huko nenda kwa akili sana😀
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Hardening kuna wajomba na mama zangu wakubwa na wadogo, mara ya mwisho kufika ilikuwa 1991. Natamani nitengenge mda nifike huko.
Wewe sema unampango wa kufika kwa msisi ukachukue uchawi wa kulinda cheo chako cha uprezzida 🤣🤣🤣
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Wewe sema unampango wa kufika kwa msisi ukachukue uchawi wa kulinda cheo chako cha uprezzida 🤣🤣🤣
😬 kutoka uchagani mpaka Dar nimevuka mito kibao ukiachana na mto ungwasi kuna wami kuna ruvu halaf niogope uchawi
unajua nimenususurika to be bitten by mamba mara ngap pale wami?

unajua nikipita pale wami nafunga macho nasali sala za mwisho mara ngapi? unajua nikifika pale wami huwa siongei na mtu kabisa😬

uchawi gan kwa msisi hapo ni mazingaombwe😬
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
😬 kutoka uchagani mpaka Dar nimevuka mito kibao ukiachana na mto ungwasi kuna wami kuna ruvu halaf niogope uchawi
unajua nimenususurika to be bitten by mamba mara ngap pale wami?

unajua nikipita pale wami nafunga macho nasali sala za mwisho mara ngapi? unajua nikifika pale wami huwa siongei na mtu kabisa😬

uchawi gan kwa msisi hapo ni mazingaombwe😬
Sasa prizidaa kama wewe utakosaje kujua Vilinge..🤣🤣🤣
 
Similar threads

Kama upo online mda Huu. share chochote na wenzako waliopo online hapa Kijiji forum.
Replies
21
Views
809
Nkewaisana(Nawasalimu) Leo nimetoka kwenye msiba kumzika kijana aliejiua kwa kunywa sumu.. Tukio hili sio la kwanza yako mengi tu, na mengine ni ya watu maarufu kama yule aliye jitupa kutoka ghorofani.. Watu wengi wanadai kuwa ni ugonjwa wa akili, na mimi nakubali kwasababu nishaona watu wa...
Replies
11
Views
928
Licha ya kwamba aina zaidi za tofali za kujengea nyumba lakini watu wengi hujiuliza sana kati ya tofali za kuchoma na tofali za bloku au tofali za simenti ni zipi bora zaidi? angalau zipi zinafaa zaidi kwa ujenzi? kuhusu kulinganisha gharama za hizi aina mbili.
Replies
14
Views
604
  • Question Question
Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa hujulikana kwa kitaalamu kama “Pre mature ejaculation.” Premature ejaculation (PE) hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake...
Replies
27
Views
446

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom