Umewahi kuona death certificate

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Amani iwe nanyi wanakijiji
Kwenye cheti cha kifo sababu ya kifo haundikwa, kama malaria, kujiua nk
Je umewahi kuona cheti cha kifo cha ndugu , jamaa au rafiki?
Kuna cheti niliona sababu ya kifo ikawa kutoa mimba na hiiilinipa kutafakari maisha ya dunia kwa mara ya pili.
Kwa imani yangu tunaambiwa siku ya kiama kila mwanadamu atapewa kitabu chake chenye hesabu yake, sasa nikawaza kama tunavyofanya attachement ya vitu vyetu huku duniani nikawaza kile kitabu kipo attached na death certificate yenye chanzo cha kifo kujiua, kutoa mimba nk, hvi hapa utajitetea vipi kwa Mungu
Tuzidi kuomba mwisho mwema
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
tupo tusioamini kwamba mungu yupo, imetuondolea sana hiyo hofu....

dini inatawaliwa sana na hofu; fanya hivi lasivyo utaungua milele

mungu mwenye upendo wa kweli hawezi fanyia hivyo viumbe wake.....

chukua hii iwe tafakuri yako ya leo usiku
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
tupo tusioamini kwamba mungu yupo, imetuondolea sana hiyo hofu....

dini inatawaliwa sana na hofu; fanya hivi lasivyo utaungua milele

mungu mwenye upendo wa kweli hawezi fanyia hivyo viumbe wake.....

chukua hii iwe tafakuri yako ya leo usiku
Kwa nini mwalimu akutahini kwa kukupa mtihani baada ya kumaliza kufundisha coarse or topic au chchote?
Je unadhani tumeletwa bila ya kua na purpose? Na kama kuna purpose tutajuaje mwishoni huyu amefaulu?
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Kwa nini mwalimu akutahini kwa kukupa mtihani baada ya kumaliza kufundisha coarse or topic au chchote?
Je unadhani tumeletwa bila ya kua na purpose? Na kama kuna purpose tutajuaje mwishoni huyu amefaulu?
hakuna aliyeletwa na 'purpose' hiyo 'purpose' utachagua mwenyewe

sasa huyo mwalimu anajua tayari hatma yako kwanini anakupima, si anajua kila kitu, anajua flani ni wa motoni tu
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
hakuna aliyeletwa na 'purpose' hiyo 'purpose' utachagua mwenyewe

sasa huyo mwalimu anajua tayari hatma yako kwanini anakupima, si anajua kila kitu, anajua flani ni wa motoni tu
Hata walimu wetu wa darsan wanajua flan hatoboi hili pepa lkn akieka effort anatoboa same to the creator anahitaji our effort in worshiping him alone and do the oblagation and live the prohibition na ndio maana he wont judge us kwa kusema kuanzia 80 -100 you are granted paradise but ataangalia btn the bad deeds and the good deeds which one exceed the other, and this is according to the teaching
And God knows best
May the Almighty guide us
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Asante mleta mada, mimi nshakiona nnavo va wazazi wangu wote(baba na mama) sijawaigi hata kuvisoma...
ila umesema vyema inatupasa kujitafakari njia zetu sisi tulio bakia, kwamaana ujui aliekufa alimalizanaje na Mungu, pengine alipata muda wakutubu...
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Mimi ni muamini ila najiuliza ananufaika na nini sasa?
Kwanini alishindwa kumzuia shetani kutufanya tusifanye dhambi

Naam
 
Shetana hatufanyi sisi kufanya dhambi kwa sababu sisi tuna mamlaka, shetan baada ya kugoma kuleta prostration kwa adam alifukuzwa na yeye hakuomba msahama kwa kiburi ila aliomba awapoteze wanadamu lkn Mungu akasema sawa ila asa long as hawa wanadamu watanikumbuka hatoweza kuwapoteza.
Hapa pana njia mbili either uwe njia ya mungu au ya shetani na njia ya shetani ndo kaipamba na anasa tele ili kusudi siku ya kuadhibiwa awe na wafuasi wa kutosha na njia ya mungu ndo kuna mambo marahisi yasiyohitaji gharama lkn kwa sisi wanadamu hii ni njia ngumu lkn mungu huyu huyu katuekea mlango wa toba na anajisifu yeye ni mwingi wa msamaha na anapenda kusamehe kazi yetu ni kutubia tu tunapoteleza na kufanya jitihada ktk yale yaliyoamrishwa
 
Ohhh sawaaa
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Wakati mwingine kweli tunawaza hivi maana mambo yanakua tight unamwomba nae Mungu ila unaona hajibu. Hapa ndo mlango wa subra unafunguliwa.
Hakika wenye kusubiri watapata ujira mkubwa
Maisha ya duniani unawaza kuwa labda tumeumbwa ili tuteseke
 
Similar threads

Nkewaisana(Nawasalimu) Leo nimetoka kwenye msiba kumzika kijana aliejiua kwa kunywa sumu.. Tukio hili sio la kwanza yako mengi tu, na mengine ni ya watu maarufu kama yule aliye jitupa kutoka ghorofani.. Watu wengi wanadai kuwa ni ugonjwa wa akili, na mimi nakubali kwasababu nishaona watu wa...
Replies
11
Views
928
Helli kwanza anza kwa kusoma jina la jukwaa kisha tuendeleee Nategemea kuona pisi kaliiii siunajua Shujaaa wenu nipo single 😅😅😅 What do u expect to see
Replies
21
Views
651
New Mexico officials are currently probing the untimely demise of Sophia Leone, an adult film star, which they have categorized as "suspicious.". Leone, aged 26, was discovered dead in her apartment by family members on March 1. The circumstances surrounding her passing are under investigation...
Replies
8
Views
427
Steven Edward Riley Jr. -- a 51-year-old man from Minot, North Dakota -- died suddenly early last month on Sept. 5 at a hospital in the state capital of Bismarck...authorities determined that Riley’s cause of death was poisoning and his surviving girlfriend, 47-year-old Ina Thea Kenoyer was...
Replies
2
Views
903
Major arguments against the death penalty focus on its inhumaneness, lack of deterrent effect, continuing racial and economic biases, and irreversibility. Proponents argue that it represents a just retribution for certain crimes, deters crime, protects society, and preserves the moral order...
Replies
10
Views
419

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom