- Joined
- Jul 8, 2023
- Messages
- 1,320
- Reaction score
- 2,995
- Points
- 0
Nimesoma sana.Hili gazeti sidhani kama una knowledge ya kutosha limekuwa zaidi ta 20 years
Nimesoma lakini1994 bado dogo kabisa umezaliwa unelikuta gazeti la sani
Lilikuwa linauzwa shingapi??Harakati za pimbi
Lodilofa
Baba Ubaya
Kipepe
Madenge
Kweli umenikumbusha kitambo sana
Umewasahau - Kifimbo cheza, Ndumi la kuwili, Pimbi, Chepe na SokomokoHarakati za pimbi
Lodilofa
Baba Ubaya
Kipepe
Madenge
Kweli umenikumbusha kitambo sana
Ongea na mzee Watoto wa kidugala akupe historia nzuri ya gazeti la sani. Ulilikuta?madenge ni wagazet gani?
Ahahaaa nimekujangoja aje @mwachiluwi mtoto wa 2006
Tupia story mzeeAhahaaa nimekuja
Nashindwa kupost sasaTupia story mzee
kwa nini unashindwa kupostNashindwa kupost sasa
Leo mmejua kututesakwa nini unashindwa kupost
Sion pakuanzisha threadkwa nini unashindwa kupost
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.