Unatakiwa ufanye jambo, pata hamu kwa ajili ya kufanya kazi ya Bwana

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113
Kutoka 8:1
BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia.

Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri.

Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili wakamtumikie Mungu(Yehova).

Kuna siku utaitajika uoneshe kazi zako ulizofanya kwaajili ya ufalme wa Mungu(mkono mtupu haulambwi)

Taka sana kujua nafasi yako katika ufalme wa Mungu, fanya kazi ya Mungu kwa uaminifu, hata kama ni kidogo fanya hivohivo.

Biblia inasema ukiwa mwaminifu kwa mambo madogo utapewa yale yaliyo makubwa ...

Fanya unachoweza katika ufalme wa Mungu sio lazima uwe mchungaji au mtumishi, hapohapo ofisini, kwenye biashara yako unaweza kumtumikia Mungu kwa ukubwa...

Biblia inasema ujiwekee hadhina mbinguni, anza kuwa mchango wa kueneza Injili ya Yesu Kristo kupitia muda wako, fedha yako, cheo chako/nafasi yako, elimu yako, ushawishi wako, umaarufu wako, nguvu zako, ujana wako, ubaba/umama wako, uzee wako, n.k

Kwenda tu kanisani haitoshi, unatakiwa uwe na bidii, kwenda kanisani jumapili ni kawaida ila bidii ni kwenda na siku za katikati, kwenda na jumuiya/cell.

Kuwa na bidii nikusapoti kazi za Mungu kwa hali na mali, sio lazima utoe mamilioni, toa kwa vile moyo wako utakavo, saidia wasio jiweza, wafariji wasio na amani..

Tenda wema tafuta kufanya makusudi ya Mungu kila itwapo leo, usichoke kutenda mema..
 
Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,118

Nzuri sana ila what i have to say is who is god, and nitahakikisha vipi huyo Mungu ndio Mungu mwenyewe
 
Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,118
113
Dah @mshamba_mkuu kashakuharibu mawazo yako
Yule mshamba ananyonya saivi
Kijana, ila bado hajataka kutimiza lile nono kuwa "mshike sana Mungu kipindi cha ujana wako"
Unajua kuwa wewe unaamini hivyo kutokana ana bible vp wa kuruan je wao wana Mungu wao if true then there is no One god if false then who is real one? hapo hatuja weka na dini nyingine
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,019
22,616
113
Yule mshamba ananyonya saivi

Unajua kuwa wewe unaamini hivyo kutokana ana bible vp wa kuruan je wao wana Mungu wao if true then there is no One god if false then who is real one? hapo hatuja weka na dini nyingine
Kuna Mungu na kuna Miungu. Yupi Mungu anayeishi? Hapo ni wewe kumtafuta
 
Similar threads

Morning. Katika maisha ya binadamu kuna mambo mengi binadamu anapitia kuelekea kifo chake,mambo mengine ya kuchekesha na yakuhuzunisha,nimeleta huu uzi ili tutoe yetu ya moyoni. Mimi Mr president jambo ambalo sitakaa nisahau katika maisha yangu ni kumlazimisha demu wangu ulokole kufanya...
Replies
13
Views
156
Dar es Salaam. Sakata la Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuhudumu katika nafasi ya Jaji Mkuu wa Tanzania limeibua utata baada ya Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella Mugasha kudaiwa kuandika barua akieleza uamuzi wa kumwongezea muda ni uvunjaji wa Katiba na kutozingatia misingi ya sheria. Hata...
Replies
0
Views
491
ase ujobless kitu kibaya sana unalala mpaka mgongo unauma ukiamka huoni cha kufanya unarudi kualala unachezea simu macho yanauma mishipa ya kichwa inapasuka ase hapana 🫡🫡
Replies
48
Views
560
Swali la kizushi! Watu wengi wana vitu tofauti tofauti Wakati niko O Level nilikutana na Gilo aisee yule dada ilikuwa nikisikia sauti yake tu jogoo lazima awike. Tukiwa darasani kipindi cha English nakumbuka tunasoma 'Passed like a shadow' akawa ananiomba peni kusikia sauti yake tu Jogoo mara...
Replies
33
Views
431
Top Bottom