Usaliti wa mke wa rafiki yangu, ushauri

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Mmeamkaje
Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua.

Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo.

Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili

Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema aah muhindi wa kuchoma wewe ni mmbea sana. Jamaa yangu anatabasamu tu nikawaaga nikasepa

Kauli ya mke wa jamaa inaniuma sana. Kifupi tu Athumani ni mwathirika na jamaa yangu Sidhani kama ataponea kwenye hili.

Tukio kama hili likikukuta unafanyaje? unamweleza mhusika au? Je nimweleze jamaa kuwa mke wake anatoka Athumani?
 
Pole sana kwa kuathiriwa kisaikolojia na shemeji yako .

Sasa fanya hivi , kwakuwa huyo jamaa ni rafiki yako na kama unampendea mema msaidie kwa kufanya yafuatayo muigizie kuwa unahisi kama umepata ngoma kutoka kwa demu fulani .

Hivyo huna raha unahisi tayari umeathirika hivyo muombe akusindikize kupima ngoma , ila mpeleke kituo ambacho unahisi tayari unaye mtu amabye unaweza kumuomba mkija kupima amshawishi sana na huyo jamaa yako apime ili naye aijue afya yake .

Ikiwa hilo utafanikiwa na kumkuta jamaa yako ni mzima wa afya sasa anza kumfuatilia Athumani au Ochu akiwa na mke wa jamaa pata sehemu wanazokaa na kujivinjari ndiyo hapo msitue mwanao kuwa twende ujionee mimi sitaki kukueleza kwa mdomo wala kukushauri lolote ila maamuzi awe nayo yeye mwenyewe .

Ila kama mkipima ukamkuta jamaa yako tayari amewaka basi kaa kimya jikaze muache shemeji yako aendelee kufaidi maana maisha ni mafupi .

Ushauri wangu mimi .
 
Daaah..... Ni huzuni
 
Ushauri mzuri
Naogopa kupima nimeenda hospital mara nyingi napima majibu nayakimbia

moyo unadunda natokwa na Jason napata uoga. Itakuwaje nikikuta nimeathirika?

Kipengele hiki kwenda na jamaa yangu kupima.
 
Pole sana kwa kuathiriwa kisaikolojia na shemeji yako .

Sasa fanya hivi , kwakuwa huyo jamaa ni rafiki yako na kama unampendea mema msaidie kwa kufanya yafuatayo muigizie kuwa unahisi kama umepata ngoma kutoka kwa demu fulani .

Hivyo huna raha unahisi tayari umeathirika hivyo muombe akusindikize kupima ngoma , ila mpeleke kituo ambacho unahisi tayari unaye mtu amabye unaweza kumuomba mkija kupima amshawishi sana na huyo jamaa yako apime ili naye aijue afya yake .

Ikiwa hilo utafanikiwa na kumkuta jamaa yako ni mzima wa afya sasa anza kumfuatilia Athumani au Ochu akiwa na mke wa jamaa pata sehemu wanazokaa na kujivinjari ndiyo hapo msitue mwanao kuwa twende ujionee mimi sitaki kukueleza kwa mdomo wala kukushauri lolote ila maamuzi awe nayo yeye mwenyewe .

Ila kama mkipima ukamkuta jamaa yako tayari amewaka basi kaa kimya jikaze muache shemeji yako aendelee kufaidi maana maisha ni mafupi .

Ushauri wangu mimi .
dunia ina watu jamani😂😂
 
Similar threads

Onyo: Baadhi ya maelezo katika hadithi hii yanaweza kuwa ya kusumbua. Kesi hii ya mauaji inachukuliwa kuwa moja ya zilizo muhimu zaidi katika historia ya uchunguzi wa Polisi wa Tamil Nadu kwani sayansi ya uchunguzi ilichukua jukumu ambalo halijawahi kushuhudiwa katika kuthibitisha mauaji...
Replies
3
Views
197
Wakuu ni uwakika? Mimi niko gud Mungu ni mwema. Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri.. Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia...
Replies
12
Views
318
  • Question Question
Mambo zenu wadau humu ndani Kuna mwanamke nimekua nae kwenye mahusiano mwezi wa saba sasa. Naomba mnisaidie jinsi ya kiachana nae maana nmejaribu nimeshindwa
Replies
7
Views
227
Mke Mtarajiwa huna haja ya kuhangaika na mabuzi nimetoboa sasa mimi ni raisi wa Kijiji. Mke wangu mtarajiwa, najua uko sehemu salama ni kuvuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndndanninayo machache ya kukueleza.. 1. My future wife, Jiandae kuwa mother material...
Replies
13
Views
375
Mambo mchumba wangu Natafuta mchumba hapo baadae awe mke wangu. Kwanza ningependa tufahamiane kabla hatujafikia maswala ya ndoa. Sifa zangu Umri: Nina miaka 25 Elimu: Chuo (undergraduate) Dini: Mkristo (japo siendi kanisani) Urefu: 170cm Rangi: Mweupe Kazi: Natafuta kazi (nina kazi ndogo...
Replies
23
Views
300
Back
Top