Ushauri nafanyane kumsahau ex wangu, bado nampenda sana

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano.

Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa wanaume tumeumbiwa kutamani. Yule msichana alikuwa na tako mbinuko na umbo number 8, mzuri na nilifanikiwa kumla, alikuwa mtamu sana siwezi andika hapa ni aina ya wanawake ambao unaweza mlamba mwili mzima miguu mpaka utosi

Sasa tatizo lilianza pale ex wangu alipopata mwanaume. Huyo mwanaume namjua kwa sababu tulisoma nae, nilihuzunika sana. Kwa sababu kwa kipindi kile nilijua kuwa bado nampenda sana. Ex wangu ni aina ya wanawake wakisuka twende kilioni unavutiwa nae. Ana uzuri wa asili, English figure, ngozi laini na akitabasamu unapoteza nguvu za miguu, kwake nimekufa nimeoza.

Najua usaliti wangu ndio chanzo cha kuachana ila hakutaka kusitisha uhusiano wetu, aliendelea kuwa rafiki yangu wa karibu. Kabla ya kuwa kwenye mahusiano pia alikuwa rafiki yangu mkubwa wa karibu. Tumesaidiana mambo mengi sana ya kimaisha

Rafiki yake mkubwa wa kike aliniambia alianza uhusiano wake wa sasa kwa sababu alihitaji 'kunisahau' lakini jambo ambalo linanichosha nguvu ex wangu na jamaa wanaonekana kuwa na furaha pamoja. Usiku nakosa usingizi nawaza labda jamaa anakula mzigo wangu😭😭😭 naumia, anamwaga uchafu wake kwenye bustani yangu. Natamani hata kijiua, namlaumu nani? Mimi ndio wa kulaumiwa. Hata ningerudiana nae nawezaje kusahahu? Bustani yangu imeshachafuliwa😭😭😭 nitasahauje nateseka

Tumekuwa marafiki wa karibu sana tangu wakati huo, lakini sijaacha kumpenda. Tunakutana mara chache kwa na kila ninamwangalia tu nataka kumwambia 'nakupenda'. Nashindwa nateseka naanzaje? Hata wakati namsaliti sikumwomba msamaha. Washikaji zangu walinishauri wanaume hawaombi msamaha niache mara moja kufanya huo ujinga.

Hapa ndipo ninachanganyikiwa. Je, nimwambie kwamba ninampenda sana, na nimekuwa nikimpenda kwa miaka miwili...au niendelew kuteseka tu kwa sababu yuko na mtu mwingine? Hata kama hatutakuwa na mahusiano ningependa afahamu kuwa nampenda sana.

Natamani jambo hili liwe rahisi zaidi...mapenzi yananichanganya sana. Uwezo wangu umepungua nakosa udanisi hata kazini. Haijalishi ni kiasi gani nimejaribu kukataa kuwa ninampenda, mara tu ninapomuona, nifikirie juu yake au hata kusikia sauti yake kichwani mwangu ... nateseka sana.

Nimejaribu kuweka hisia kando kwa sababu anaishi na jamaa mwingine, lakini pia ningependa kumjulisha kwamba sijawahi kuacha kumpenda, ikiwa tu anadhani sikuwa na moyo kwa kutoendelea na mauhusiano yetu. Au nitaonekana mbinafsi?

Ushauri wowote mtakaonipa nitauthamini. Mda mwingi nashinda Kijiji kutoa stress ila bado moyo hautaki kumsahau

Nifanyeje?
 
Hata yeye anakupenda, mpe muda akisha chokana na uyo jamaa yake wa sasa ndio urudishe miguu. Kwasasa wewe wasiliana nae kawaida usiingize mapenzii..
Onyo: ushauri huu nikutoka kwa mtu asie na experience ya mambo hayo.
 
Hata yeye anakupenda, mpe muda akisha chokana na uyo jamaa yake wa sasa ndio urudishe miguu. Kwasasa wewe wasiliana nae kawaida usiingize mapenzii..
Onyo: ushauri huu nikutoka kwa mtu asie na experience ya mambo hayo.
Kweli nimempa muda ila wanaonekana wana furaha pamoja
Uvumilivu una mwisho Mr President

Usiombe yakukute, yasikie kwa watu haya mapenzi
 
dronedrake angekuwepo angetoa ushauri huu hapo ulipo unawaks wawili mmoja kushoto wengine kulia tafutia utelezi basi mzee maisha yanasonga huna stress za gono
 

Similar threads

Wakuu kwema, Naomba mumshauri kijana mwenzenu, yeye ni mke wa mtu, amesoma mpaka diploma(pharmacist) na mume wake amemfungulia duka la dawa. Changamoto inakua yeye hana kauli ya biashara, yani anajitaidi kuchangamka lakini hawez, inapelekea wateja kumuama, na wengine wanamwambia kabsa awaji...
Replies
18
Views
742
Habari na karibu ktk moja na mbili ya kuelimishana sisi kama mavijana. Tabia zako zina athari kubwa mahali pesa zako zinakwenda. Pesa haiwezi kamwe kuzidi mikononi mwa mtu mwenye tamaa ya kutumia hela tu. Jifunze kuwa na ujuzi wa kifedha. Usiwe na haraka ya kukimbia wakati haujajifunza...
Replies
9
Views
424
Mmeamkaje Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua. Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo. Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
Replies
23
Views
698
Mgongo wangu umebonyea katikati kuanzia karibu na shingo mpaka kiunoni. Karibu na kiunoni kumebonyea zaidi kuweka kishimo. Hii imenifanya nishindwe kutembea mgongo wazi kutokana na watu kunitolea macho. Naomba ushauri nifanyeje ili kukwepa Karaha hii ya mgongo mbonyeo.
Replies
7
Views
178
  • Sticky
This is special place where all KijijiForums members can participate on making KF a giant What do you think? Tell us Let's discuss How we manage and drive this platform We are here to listen, discuss and take action
Replies
12
Views
339
Back
Top