Ushauri tafadhali

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Wakuu kwema,
Naomba mumshauri kijana mwenzenu, yeye ni mke wa mtu, amesoma mpaka diploma(pharmacist) na mume wake amemfungulia duka la dawa.
Changamoto inakua yeye hana kauli ya biashara, yani anajitaidi kuchangamka lakini hawez, inapelekea wateja kumuama, na wengine wanamwambia kabsa awaji dukani kwake kwasababu ya kauli zake, wanamwambia anauza duka kwa maringo...

Juzi nlikua napiga nae stories ndio akaniambia, nimshauri afanyaje maana anaona yuko sawa, na akijaribu kuchangamka anaona kama anajizalilisha au anajipendekeza kwa watu, anadai hata kwenye familia yao anajulikana kuwa ni mtu wa kutochangamana na wengine, sasa anaomba ushauri, afanyaje ili abadilike maana kila njia anayojaribu anaona anajitesa,,
 
Kuna biashara za kuchangamkia wateja ila hii ya pharmacy ni ngumu kidogo. Ukichangamka sana unaweza onekana sio msomi. Ila ajikite tu kwenye utoaji wa huduma vizuri. Salamu kisha huduma nzuri.

Kimsingi awe anatoa elimu ya ziada na ushauri kuhusu dawa watakuja tu. Haitaji kuzoeana na wagonjwa. Siku mgonjwq anaumwa gono anahama pharmacy

Kuna biashara ukizoea wateja hnawakimbiza. Huwa siku moja moja nashinda Lodge, sasa mteja akija ukamchangamkia utamkosa. Kwa sababu huwa wanakuja na mademu tofauti, ukimchangamkia maanake ataonekana mzoefu wa kuja guest na mademu todauti.
 
Sawa ntampatia hayo madini, ila iyo ya guest sitamwambiaaa
 
Kuna biashara za kuchangamkia wateja ila hii ya pharmacy ni ngumu kidogo. Ukichangamka sana unaweza onekana sio msomi. Ila ajikite tu kwenye utoaji wa huduma vizuri. Salamu kisha huduma nzuri.

Kimsingi awe anatoa elimu ya ziada na ushauri kuhusu dawa watakuja tu. Haitaji kuzoeana na wagonjwa. Siku mgonjwq anaumwa gono anahama pharmacy

Kuna biashara ukizoea wateja hnawakimbiza. Huwa siku moja moja nashinda Lodge, sasa mteja akija ukamchangamkia utamkosa. Kwa sababu huwa wanakuja na mademu tofauti, ukimchangamkia maanake ataonekana mzoefu wa kuja guest na mademu todauti.
Ni kweli alichosema, ajitahidi tuu kuwa na customer care nzuri, asijibu vibaya wateja Ila asizoeane nae kabisa ibaki tuu uhusiano wa mteja na yeye.

Ni ngumu kubadilisha personality yake hata afanyaje
 
Hamna mkuu, sema huku mara nyingi nasahaugi password 😂😂
Fanya kuisave kupitia gmail accaunt yako ili ukiwa unaingia wanakupachikia tu wewe nikuzama ndani bila hodi
 
Dunia ina mambo ya ajabu sana. Kuna watu ukikutana nao ni hasara sana.
 
Similar threads

Habari na karibu ktk moja na mbili ya kuelimishana sisi kama mavijana. Tabia zako zina athari kubwa mahali pesa zako zinakwenda. Pesa haiwezi kamwe kuzidi mikononi mwa mtu mwenye tamaa ya kutumia hela tu. Jifunze kuwa na ujuzi wa kifedha. Usiwe na haraka ya kukimbia wakati haujajifunza...
Replies
9
Views
424
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
585
Mmeamkaje Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua. Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo. Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
Replies
23
Views
698
Mgongo wangu umebonyea katikati kuanzia karibu na shingo mpaka kiunoni. Karibu na kiunoni kumebonyea zaidi kuweka kishimo. Hii imenifanya nishindwe kutembea mgongo wazi kutokana na watu kunitolea macho. Naomba ushauri nifanyeje ili kukwepa Karaha hii ya mgongo mbonyeo.
Replies
7
Views
178
  • Sticky
This is special place where all KijijiForums members can participate on making KF a giant What do you think? Tell us Let's discuss How we manage and drive this platform We are here to listen, discuss and take action
Replies
12
Views
339
Back
Top