Ushauri wangu kwa vijana wenzangu.

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Habari na karibu ktk moja na mbili ya kuelimishana sisi kama mavijana.

Tabia zako zina athari kubwa mahali pesa zako zinakwenda.

Pesa haiwezi kamwe kuzidi mikononi mwa mtu mwenye tamaa ya kutumia hela tu.

Jifunze kuwa na ujuzi wa kifedha.

Usiwe na haraka ya kukimbia wakati haujajifunza kutambaa.

Ujinga unafanya uamini kwamba maisha yanaenda bila mpangilio.

Unachokiona leo si tunda la kubahatisha bali ni tunda la mbegu zilizopandwa zamani.

Panda mbegu sasa za aina ya maisha unayotaka, na utakua na maisha ya amani na furaha siku zijazo.

Karibu utoe ushauri unaoona unafaa kwa kijana.
Asante kwa kusoma uzi huu💕👊
 
Hata ungepata pesa zote ulimwenguni na ungeishia motoni ni ujinga mtupu, tumche Mbwana kwa roho na kweli tukiungama dhambi na kuziacha njia zetu mbaya na kulishika neno lake kwa kulitia moyoni na kufikiria utakatifu muda wote ili tusitende dhambi tena basi tukiomba kwa bidii tukaipata sura yake yote mengine tungeongezewa
 
Hata ungepata pesa zote ulimwenguni na ungeishia motoni ni ujinga mtupu, tumche Mbwana kwa roho na kweli tukiungama dhambi na kuziacha njia zetu mbaya na kulishika neno lake kwa kulitia moyoni na kufikiria utakatifu muda wote ili tusitende dhambi tena basi tukiomba kwa bidii tukaipata sura yake yote mengine tungeongezewa
Amen
 

Similar threads

Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
585
Wakuu kwema, Naomba mumshauri kijana mwenzenu, yeye ni mke wa mtu, amesoma mpaka diploma(pharmacist) na mume wake amemfungulia duka la dawa. Changamoto inakua yeye hana kauli ya biashara, yani anajitaidi kuchangamka lakini hawez, inapelekea wateja kumuama, na wengine wanamwambia kabsa awaji...
Replies
18
Views
742
Mmeamkaje Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua. Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo. Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
Replies
23
Views
698
Mgongo wangu umebonyea katikati kuanzia karibu na shingo mpaka kiunoni. Karibu na kiunoni kumebonyea zaidi kuweka kishimo. Hii imenifanya nishindwe kutembea mgongo wazi kutokana na watu kunitolea macho. Naomba ushauri nifanyeje ili kukwepa Karaha hii ya mgongo mbonyeo.
Replies
7
Views
178
  • Sticky
This is special place where all KijijiForums members can participate on making KF a giant What do you think? Tell us Let's discuss How we manage and drive this platform We are here to listen, discuss and take action
Replies
12
Views
339
Back
Top