USM wanacheza soka la mahesabu sana ni Ngumu Yanga kutoboa.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Drizian

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
90
Reaction score
237
Points
0
Habari za muda huu Wana TT.
Kwa mechi iliyopigwa kwa Mkapa majamaa wanakaba katika njia hawaruhusu penetration pass wala kufanya makosa ya wazi. Kwenye kumshambulia sasa umakini mkubwa na pasi zenye macho golini hawana parapara.



Sioni mahala Yanga watapindua meza labda meza ya vikombe vya kawaha
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Ni kweli kabisa ni kujipanga next time
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
nikajua machura yanapenda mvua na maji kumbe wap🤣
 

Similar threads

Hello, Kama unataka kujifunza kubeti au kuingia kwenye betting industry... Aka MIKEKA... basi uzi huu ni wako.. Nitakuelekeza hatua kwa hatua na kama una swali uliza.. Kumbuka hapa nitaongelea tu betting ya kwenye SOKA (football) Kubeti ni nini? Kubeti ni kubashiri , (matokeo au hata...
Replies
16
Views
915

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom