WANAOJIFUNZA LUGHA MPYA "AMBAYO SIYO ENGLISH" TUKUTANE HAPA

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Urban Edmund

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 26, 2023
Messages
636
Reaction score
1,321
Points
0
wanaopenda kujifunza lugha tofauti na ile mama (swahili) na international language tukutane hapa na tuambiane nini cha kufanya na tupeane mbinu ya kumaster maneno mengi kwa haraka au jinsi ya kuelewa kwa haraka ili hatua za kujifunza ziwe haraka na labda tupeane michongo ya short courses ambazo zinatolewa (ambazo sio za mtandaoni)
Binafsi napenda sana kujifunza Spanish ndo nipo kwenye hatua za awali kabisa
 

Similar threads

Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko. Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
Replies
3
Views
415
Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financière Richemont...
Replies
6
Views
660
kocha mpyaaaaaaaa tutegemee makubwa wana msimbazi
Replies
2
Views
958
Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Replies
19
Views
845
Dar es Salaam. Mtandao mpya wa threads umepungua matumizi ya watumiaji wake (Engagement) kwa karibu asilimia 70, jarida la Forbes limebainisha. Jarida hilo linaloangazia masuala ya masoko, teknolojia na mawasiliano, limesema mtandao huo uliozinduliwa Julai 5 mwaka huu ulipata watumiaji milioni...
Replies
5
Views
623

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom