Yanga msimu huu hatuta sajili kwa kushindana na mtu

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Kumekuwa na sito fahamu kwa wapinzani kuona yanga wapo kimya,ila labda nikuambie sisi yanga msimu huu tumehamua kufanya mambo yetu kimya kimya yani kama mafia vile.

Kwanza tumemtambulisha mchezaji mmoja mpaka sasa kibabage.
Yani wapinzani wanajiuliza mbona yanga hatuoni wakisajili na kutambulisha,walizoea makelele kama msimu uliopita ila sasa kimya kimya.

Tena taarifa za usajili hazipatikani kama walivyozoea,milango yote imefungwa hakuna taarifa inavuja hata.

Sisi yanga tumehamua kufanya mambo yetu kiprofessional,hatuishinkwa miheyemuko kama timu pinzani.
 

Similar threads

Kwa mtu anayejua mpira,ndo ataelewa ninachosema, kibabage anaspeed, azizi k anaspeed, skudu anaspeed, msonda na mzize wana aspeed yani kuna timu zitapigwa goli nyingi. Yanga inayokuja itakuwa ya speed sana makabi naye anaspeed aisee
Replies
11
Views
173
Klabu pendwa zaidi nchini za Simba na Yanga kila moja imeweka wazi bajeti ya msimu wake ujao katika kujiimarisha ili kutimiza malengo waliyojiwekea kwenye michuano ya Kitaifa na Kimataifa. Simba kupitia kwa CEO wake Imani Kajula imetangaza Bajeti ya Bilioni 24 kwa msimu wa 2023/2024 ”Eneo la...
Replies
2
Views
587
Eeeeeee bwana weeee, siku tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu na Hali na Mali ya kushuhudia msimu mwingine was mashindano, hasa baada ya Yanga kuwa na msimu mzuri uliopita Je huu utakuwa wa Nani? Ngao ya jamiii ilipigwa mechi Yanga na Azam, Yanga akaibuka kidedea kwa 2-0 Kikapigwa Tena kesho...
Replies
89
Views
936
Kwa Msimu huu club ya yanga wamekuwa wa siri sana kwenye mambo yao,mpaka sasa hivi wametambulisha mchezaji mmoja tu.. Hii inaitwq komesha wanafiki
Replies
5
Views
135

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top