Search results

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  1. Leejay

    Happy valentine's day Lovers

    Happiest valentine's day to all members of kijiji forums,, Leejay loves you all Katkit 🤴😘
  2. Leejay

    Merry Christmas wanakijiji Forums 🎄🎄

    May the magic of Christmas gladden your heart with the joys of the season. May the spirit of Christmas bless you with greater strength. May the promise of Christmas bring you and yours endless blessings. Merry Christmas to you all.. Kwa wale ambao mko kwenye changamoto mbalimbali Mungu...
  3. Leejay

    I miss you guy's 😥😥

    Hello kijiji forums Hope mko good, na wale ambao mko na changamoto mbalimbali nawaombea to our Almighty Allah wote mkawe healed kwa namna moja au nyingine 🤗🤗🤗 To be honest nimewamisi sana sana sana sana( Cause nawapenda sana🥹), nimemisi uwepo wenu jukwaani jamani.. Kila nikija kwenye hili jukwaa...
  4. Leejay

    Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

    Basi sawa,,, leo nimechelewa kula hapa ndo napata lunch 😥😥
  5. Leejay

    Happy birthday to me 🥳🥳🎉🎂🎈

    Hello everyone 😊☺ Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake maana haikua rahisi 😊🤗 Nitakua mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na...
  6. Leejay

    Hua mnashughulikaje watoto wanapokua na tabia kama hizi?

    Habari wanajamvi... Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi. Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa...
  7. Leejay

    Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

    @mshamba_mkuu karibu tule 😊😊
  8. Leejay

    Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

    Karibuni tule misumari leo😊😊
  9. Leejay

    Happy birthday Hakimu 🥳🥳

    habari wana kijijiforums hope ntakua sijachelewa sana to send my birthday wishes to our founder @Hakimu 😍🤩 kwa siku hii muhimu sana kwake...basi wana kf tuchukue nafasi hii japo kila mtu ampe maneno mazuri ya kumwish na kumpongeza kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwake.... nianze na mimi hapa Leejay...
Top Bottom