kulala na kioo

  1. Hakimu

    Usiku na Maajabu yake

    Kipindi najiandaa kulala hapa Nikafikiria baadhi ya nadharia za usiku, ila kabla ya yote nikajiuliza kwa nini siwezi kulala bila kusali, jibu tu nimuoga natafuta kisingizio Nadharia kama tukilala roho zetu hutoka na kwenda kwa Muumba kisha hurudi, swali tukikesha je? Mbona simu inavyoita...
  2. Gily

    Hadithi au Ukweli: Je kuna madhara kulala na kioo kutazama kitanda?

    Kumekuwa na watu wengi wakijitojeza wakodai kuwa kuna madhara kulala na kioo kutazama kitanda. Inaaminika kuwa kulala na kioo kutazama kitanda huleta: Mikosi, Kukosa usingizi, Kuvunjika kwa ndoa, Migogoro, Ndoto mbaya nk., Nadharia hii inatoka wapi? Dhana kwamba hupaswi kulala mbele ya kioo...
Back
Top