msaada

  1. Hakimu

    Msaada wa haraka

    Wakuu nipo alone mwenyewe huku muda umesonga kigiza kimeingia ila sijui nipike nini au ninunue kiepe? Wadau nipeni mawazo msosi wa chap ambao hautumii nguvu na ela nyingi duh nimekuwa mvivu wa kufikitia Gily Leejay Katkit
  2. Gily

    Huyu mtoto alitolewaje hapa?

    Wasalaam Ukikutana na tatizo kama hili na msaada unahitajika utafanya maamuzi yapi? Utamtoaje huyu mtoto hapa?
  3. Hakimu

    Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach 🏖

    Sehemu ya 1 Mapambano ya naanza ni siku nyingine Naitwa Thaibu kijana mchapa kazi, nilizaliwa mnamo tarehe 08/06/2004 nilimaliza elimu yangu ya msingi 2016 na siku bahatika kuendelea na shule hivyo nilitumia mwaka mzima nyumbani mpaka pale nilipoona kuwa sasa inabidi niyajenge maisha yangu...
Back
Top