mtoto

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  1. Gily

    Afya ya mtoto: Mambo ambayo hutakiwi kufanya kwa mtoto

    Hutakiwi kumbusu mtoto sikioni: Ukimbusu mtoto sikioni. Imekuwa ni kawaida ya watu kubusu watoto masikioni, wasijue hii inaweza mletea mtoto kuwa kiziwi. Bush hili ambalo hutambulila kama 'Busu lisilo na hatia' linaweza pia mletea mtoto maumivu ya maisha inapotokea ngoma imepasuka. English: An...
  2. Gily

    Afya ya mtoto: Ni hatarishi kwa watoto kulala na midomo wazi

    Kupumua ni jambo muhimu zaidi kwa afya na ukuaji wa mtoto. Watu wote wanapaswa kupumua kupitia pua zao na sio kupitia kinywa chao. Pua imetengenezwa na kutayarishwa kupasha moto na kulainisha hewa inayoingia kwenye mapafu. Kuna baadhi ya watu ambao huwa na tabia ya kupumua kupitia vinywa vyao...
  3. Gily

    Afya ya mtoto: Vyakula ambavyo si salama kwa mtoto wa umri chini ta miezi 12

    Je, ni umri gani napaswa kumpa mtoto wangu maziwa ya Ng'ombe? Baada ya umri wa miezi 12 (lakini sio kabla ya miezi 12), mtoto wako anaweza kupewa maziwa ya ng'ombe. Kabla ya mtoto wako kufikia umri wa miezi 12, maziwa ya ng'ombe yanaweza kumweka katika hatari ya kutokwa na damu ndani ya utumbo...
  4. Kondeni0112

    Kuna haja ya kupima DNA watoto?

    Habari ndugu zangu Kuna haja ya kupima DNA watoto ulio walelea na kuishi nao kama watoto wako kweli? Kwa upande wangu naona sio sawa, kama umehisi mtoto sio wako unakausha tu, kuna watu wengi wameadopt watoto na wana amani telee.. Watu wanadai sababu inayofanya wa wafanye DNA test ni ili...
  5. Katkit

    Ulipokuwa una miaka 10 ulikuwa unaweza kufanya kazi gani za nyumbani?

    Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
  6. Hakimu

    Faida, hasara mtoto kulelewa na mzazi mmoja

    Watu wengi wameendelea kuzungumzia suala la maadili, hasa kwa vijana. Kwa mfano hili wimbi la panyarodi linaloendelea kutajwa kwa vitendo viovu, hii ni miongoni mwa sababu kubwa ya mmomonyoko wa maadili. Inaonekana dhahiri baadhi ya wazazi wameshindwa kutimiza jukumu la malezi ya watoto wao...
  7. Hakimu

    Ugomvi wa wazazi, waua mtoto wa mwezi mmoja

    Zambia. Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
Back
Top Bottom