Bugs zinaboa sana

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Nina kaproject kangu hapa simple ila nakula bags kama uchafu, nafix ila sometime sipati syntax error ila logical error na hii ni ngumu kufix sababu computer haiwezi ditect hii error naomba kupumzika kesho ninapepa huuuuu!

Wataalamu nani nimtumie sourcecode anifanyie manuva?
 

Similar threads

Sijui anaitwa nani ila siku hizi naona anatrend sana kwenye status za watu , stickers nk halafu jamaa comedy zake haongei na code zake za mavazi zilezile.
Replies
6
Views
214
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
587
Hali hiyo inaweza pia kusababisha mashambulizi ya hofu, ambayo kwa kawaida hujumuisha baadhi ya dalili zifuatazo za kimwili: Kutokwa na jasho sehemu kubwa ya mwili Maumivu ya kifua Kichefuchefu au usumbufu wa tumbo Ugumu wa kupumua au kuhisi pumzi inakata Kizunguzungu au kuzirai Mapigo ya moyo...
Replies
16
Views
234
Natumaini wote wazima... @imeandikwa na the-great-manenge.. Tanzania ilipata uhuru 9 disemba 1961Ni miaka mingi sana imepita,tumeshuhudia taifa letu limepitia hatua mbalimbali za ukuaji wake,baba aliniambia miaka ya 70 mpaka 80s vijana walikuwa wanatabia nzuri sana,mtoto alikuwa sio wakwako...
Replies
13
Views
224

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom